Wachekeshaji wa Tanzania wana-expire mapema sana, sababu ni kuingia katika fani bila kuisomea shule. Unakuta mtu analazimisha kubadilisha sura au sauti ili kuvuta hisia za watazamaji, angalia wenzetu unafikia kucheka kwa maudhui yaliyopo kwenye ujumbe wa msanii.