Hawa jamaa walimanisha nini??

Hawa jamaa walimanisha nini??

Bururu

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2016
Posts
877
Reaction score
585
IMG_20180714_233242.jpg
Naomba kujua walimanisha au walitoa ujumbe gani katika hii picha?
 
hahhahaha kama nawaona wanavyosugua soli za viatu na bahasha mkononi plus vumbi hadi puani, dadeq yaan watu wanajifanya wanaijua ccm! ccm ina wenyewe bhana
 
Waliandika Rasimi kwa Lowasa, maana kipindi cha uchaguzi hali ilikuwa tete kiafya kwa mzee wa monduli
 
hahhahaha kama nawaona wanavyosugua soli za viatu na bahasha mkononi plus vumbi hadi puani, dadeq yaan watu wanajifanya wanaijua ccm! ccm ina wenyewe bhana

"Ulusabhira muka-so lukadya nyoko"

Huo ni msemo wa ki-lugha, kwamba unamwombea mabaya mke wa pili wa mzee wako badala yake mabaya yanamwangukia mama taking mzazi.

Ndiyo yanawakuta wazee wa mbele kwa mbele.

Sasa hivi huko waliposema siyo siyo wodini nadhani kila mmoja anaelewa palivyo sasa.
 
Back
Top Bottom