Hawa jamaa waliendaga wapi

wizodg

Senior Member
Joined
Dec 24, 2018
Posts
151
Reaction score
136
Wakuu back then nakumbuka kuna kampuni inaitwa tttr autoupgrades nilikuwa nawafatilia instagram sasa leo naangalia kwenye ig maana ni mda sijawafatilia nakuta last post ni 2019.ni kwamba kampuni ilifungwa .ni nini kilihappen
 
Kulikuwa pia kuna capitalzone 4*4 mmiliki sijui ni raphkovic yule.. capitalzone siioni ila raphkovic yupo km sikosei
 
TTTR walikua na upgrades nzuri ila expensive. Wasanii wengi sana walikua wanapeleka chuma zao.

Kwa zile gharama, ilikua ngumu sana kusurvive.
 
TTTR walikua na upgrades nzuri ila expensive. Wasanii wengi sana walikua wanapeleka chuma zao.

Kwa zile gharama, ilikua ngumu sana kusurvive.
Ndo iwe sababu ya kupotea kabisa mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…