Hamiyungu
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 598
- 776
Ukiwa Arusha Kuna barabara hazina hata vibao vya kuonesha kuwa huruhusiwi kuingia/au kupita lkn ghafla utashangaa umezungukwa na wahuni wakidai ni wazee wa wrong parking eti umepita kimakosa lipa faini elfu 50.Hii kitu ni usumbufu mkubwa Sana na bora wangekuwa wanavaa sare za kuwatambulisha.
Na pia waweke alama kuwa hii barabara haitoki watu wajue na wavae sare,mijitu ipo rafu rafu tu nani anaweza kulipa kwa mhuni?
Ukipita stand ndogo ya hiace utaambiwa lipa ushuru kisa umeingia stand hata kama ni gari binafsi.Haya mambo hayana msingi wowote zaidi ya usumbufu tu.