Hawa jamaa ni waongo AIRTEL

the kapex

Member
Feb 4, 2011
35
2
Ninatumia modem ya voda kwa mitandao yote lakini kutokana na matangazo ya airtel kuwa leo ijumaa hadi jumapili internet ni bure kwangu imekuwa sio hivyo jamaa wanakula hela tu sijui kwa wenzangu ni vipi au ukitumia modem isiyo yao wanakata hela hapo inakuwaje msaada jamani
 
:A S-confused1:
 
Nimeckia ni kuanzia saa 5 ucku hadi saa 12 asubuh coz hata tangazo cjalickia,ila rafiki yangu ndio kaniambia hvyo.
 
Hiyo ni kweli kabisa, nimesikiliza matangazo asubuhi ya leo kuwa ni kwa usiku tu, mchana gharama kama kawaida. Jamani walisema vigezo na masharti kuzingatiwa
 
vigezo au msharti kuzingtiwa............................
 
Kapex hawa jamaa wanatoa hiyo huduma kuanzia saa tano.yaan mtu kalala ndo wanaachia.mchana wanabana.hii huduma itakua inaanza muda uleule muda wa kupiga sm kwa nusu shilingi.
 
Back
Top Bottom