Hawa jamaa nambq wanatow wapi?

Planett

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
10,573
Reaction score
16,365
Washenzi sana, matangazo kama haya wakaweke fb kuliko kusumbua watu bila sababu.
 
Wana connection nzuri kama uliwahi kwenda kwa yoyote huo ndio mrejesho wameambiana kuna mteja wakapeana namba
 
Hili ni janga na linaangaliwa tu na mamlaka husika
 
HAWA JAMAA WANASUMBUA SANA.MI JANA NIMEMTUKANA MMOJA KAMA ANANIROGA AROGE TU.KAMA MBWAI MBWAI WANAKERA MNO
 
Huyo Babu Miambi alishanitumia na mimi.
Aisee!!!inaonekana jamaa anaotea otea kuna baadhi mabwege huwa wanaingia na anawapiga.hawa dawa yao wakikutumia kama hivi unawapuuzia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…