Duh jamaa hawana fire extinguisher? Wanazima moto kwa kupepea Mashati?Hii video live ya mabomu, unaona yalikuwa yanadondoshwa tu mtaani na sio ku target jengo
View attachment 1783062
Hii video ya impact barabarani watu walivyojeruhiwa ama kufa. Hapa ndio wanadanganya dunia kuwa wanaowapiga Hamas,
View attachment 1783067
Kinachofanyika huko sasa hivi ni genocide, kuna Settlers 3000 wa ki Israel wanatafutiwa PA kukaa.
Huwezi uka target mtu mmoja au wachache na mabomu, wana he'll copter, wana sniper wana vifaa kibao wanaweza tekeleza.Duh jamaa hawana fire extinguisher? Wanazima moto kwa kupepea Mashati?
Ila wasikae mahari panaporushwa rockets maana yake Israel analipua eneo hilo kwa upana ili hata walipuaji wakikimbia wamalizwe not one missile lazima iwe randomnly
Hapo ndo ujinga wenu, sasa hapo unatetea haki za binadamu au kwa vile anayepigwa ni mpalestina? Ko muisrael yeye hana haki ya kuishi?Ni washenzi Sana hao mashoga,ngoja siku Irani ipate nyuks ndio heshima itakuwepo
Kwani hadi saizi aliyeua raia wengi wa kawaida ni Israel au Hamas? Wapalestina wanaonewa sasa siku mtetezi wao akimiliki nukes heshima itakuwepo kama Marekeni alivyoshika adabu kwa korea na uonevu utakoma.Hitler alilaumiwa sana kumbe alkuwa sahihi maana seems hawa Mayahudi sio watu wa amani na kutaka suluhu.Hapo ndo ujinga wenu, sasa hapo unatetea haki za binadamu au kwa vile anayepigwa ni mpalestina? Ko muisrael yeye hana haki ya kuishi?
Hao hamasi makombora yao yanarushwa tu bila kujali litaangukia katikati ya RAIA au la, lakini hakuna anaye laani.
Hamas ndio wanaua RAIA wa Palestina kwa kujificha kwa RAIA.
[emoji116]Wanakuita NYANI pia hawataki kuchanganya na ww usijipendekeze utaishia kulengwa maganda ya ndizi
Kwa nini mnachokoza kwa kupiga maroket kwenda Israel?. Hata hii vita mwanzo wake ni nyie hamkutaka Israel asherehekee siku ya Jerusalem. Nyie mbona miaka yote mnashehekea Id el fitre anatulia. Tulieni muipate fresh yenu. Huyo ndio Israel mwana wa YokoboHapana majeshi ya Israel muda karibia mwezi sasa hivi yanapiga watu,
Na alie tengeneza Hamas ni israeli
1. Palestina hawana Airport
2. Palestina hawana bandari
3. Palestina hawana jeshi
4. Ukitaka kwenda palestina inabidi uwe na visa ya Israel..
Kifupi palestina ni kisiwa kilichozungukwa na Israel, hakuna njia ya kupitisha silaha ama kuwasiliana na nchi nyengine bila kupitia israeli,
Kwa wakati mbalimbali viongozi wakubwa wastaafu wa Israeli wamekiri kufund Hamas hili wala sio siri.
Wanachofanya ni kutafuta Huruma kwa dunia ili wawaue Wapalestina vizuri.
kama nilivyosema post mbalimbali israel ameanza kupiga wapalestina wiki kadhaa sasa, toka kipindi cha ramadhani anapiga watu. kipindi anapiga hakukuwa na hamas wala rocket, sababu amekuwa under pressure ndio maana unaona rocket za hamas ili wapate excuse waonekane kama na wao wanapigwa, viongozi kibao wastaafu wa israel wamekiri kufund Hamas, hivyo bado watu kuwalaumu palestina kwa ajili ya Hamas vinaonyesha ubongo wetu umejaa nini.Kwa nini mnachokoza kwa kupiga maroket kwenda Israel?. Hata hii vita mwanzo wake ni nyie hamkutaka Israel asherehekee siku ya Jerusalem. Nyie mbona miaka yote mnashehekea Id el fitre anatulia. Tulieni muipate fresh yenu. Huyo ndio Israel mwana wa Yokobo
Iran hatapata Nukes kamweNi washenzi Sana hao mashoga,ngoja siku Irani ipate nyuks ndio heshima itakuwepo
Huu ugomvi Hezbollah hataingiliaHezbollah-linked media claiming 3 rockets have been fired from Lebanon towards Israel. This remains unconfirmed.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza ukawa na hela ila ukakosa akilimashariki ya kati imejaa waarabu wenye pesa nyingi sana sana lakini akili kidogo....kiinchi kidogo kinagawa kichapo kila kona jamaa wamebaki kufuga ndevu tu...
kwahiyo hao jamaa wayahudi halisi hawana fyongo na mtu wamejichanganya tu na ndugu zao waarabu wanasubiria masihi arudi?Waliopo israel sio jewish wale ni wazungu tu.The real jewish wako same na waarabu ama kama unavowaona wapalestine.Sasa jiulize wale wazungu waliopo israel walitoka wapi.Hii dunia inaharibiwa na watu wema wanaoujuwa ukweli halafu wakakaa kimya.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Wala sio hivo kakakwahiyo hao jamaa wayahudi halisi hawana fyongo na mtu wamejichanganya tu na ndugu zao waarabu wanasubiria masihi arudi?
sawa mkuu peace and love