baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 6,040
- 12,749
unamaanisha ottoman empire? ina mahusiano gani na palestine? hivi leo senegal wakaipige Brazil then Brazil walipize kisasi Tanzania utakubali?Na hao binadamu wasiokuwa Waisrael wamewaonea na kuwafanyia UNYAMA huko ULAYA YA MASHARIKI ,UGIRIKI ,MISRI NA SPAIN miaka kwa miaka....
Duuh,inatisha sana aisee..Hii video live ya mabomu, unaona yalikuwa yanadondoshwa tu mtaani na sio ku target jengo
View attachment 1783062
Hii video ya impact barabarani watu walivyojeruhiwa ama kufa. Hapa ndio wanadanganya dunia kuwa wanaowapiga Hamas,
View attachment 1783067
Kinachofanyika huko sasa hivi ni genocide, kuna Settlers 3000 wa ki Israel wanatafutiwa PA kukaa.
Hapana sheikh wangu..unamaanisha ottoman empire? ina mahusiano gani na palestine? hivi leo senegal wakaipige Brazil then Brazil walipize kisasi Tanzania utakubali?
Wote wana makosa....Duuh,inatisha sana aisee..
Hivi hawawezi kumaliza huu mzozo wa kwa kukaa chini na kuzungumza,inasikitisha sana
sasa umemaanisha nini huko spain na ugiriki?Hapana sheikh wangu..
Ottoman Empire haijawaumiza waisrael kama EMPIRE nyingine.....
Ottoman Empire ndiyo iliyowalinda WAISRAEL wakiwa uhamishoni AFRIKA YA KASKAZINI(Morocco na kwengine) baada ya kutimuliwa Hispania 1391.....
labda Israel aondoke mkuu na hicho kitu hakitakuja kutokea. tatizo kubwa ni hao mazayuni, ma jews na waisilamu wanaweza kuishi pamoja, na wameishi kwa maelfu ya miaka sheria nyingi za hizi dini mbili zinafanana,Duuh,inatisha sana aisee..
Hivi hawawezi kumaliza huu mzozo wa kwa kukaa chini na kuzungumza,inasikitisha sana
Nkigusa Link inanileta huku[emoji116][emoji116]nimejaribu bado zinafunguka vizuri, labda chagua open in new tab
Mmmmh satan is realBikra 72 ni zawadi? Dini nyingine utata!
jaribu kutumia web browser badala ya appNkigusa Link inanileta huku[emoji116][emoji116]View attachment 1784495
Na hii ndiyo hali halisi... Baadaye Hamas wanaanza kupiga kelele kuomba huruma wakati wao ndo walianza ukorofi....Wavaa vipedo bhanaView attachment 1783001
Taratibu yakheeWanakuita sokwe kutoka shithole country
Wameamua kimabavu kukaaa, wewe unateseka na kukaaa kwaoKwanini Israel inakalia kwa mabavu makaazi ya Palestina
Kumbe hawana tena nyukliaNi washenzi Sana hao mashoga,ngoja siku Irani ipate nyuks ndio heshima itakuwepo
AminaKama hawana cha kupoteza kelele za nini?
Naipenda sana Israel na mambo yake yote. Taifa la wajasiri.
Kwani Irani anatafuta nukes kwa ajili yao!? Atakapoipata wao watakuwa nayo pia. Ukweli kwamba Israel inaua Filistines haitakiwi Iran iwe na nukes kwanza ndipo izuie. Jumuia ya kimataifa inatakiwa ilaaani kwa kauli moja ili kuwazuia mazayuni kufanya hujuma wanazozifanya!Ni washenzi Sana hao mashoga,ngoja siku Irani ipate nyuks ndio heshima itakuwepo
Fee PalestineKusema ukweli kama ukabila, udini sasa inatosha. Kitendo cha kufanya watu wa Gaza, Palestina kuwa sehemu ya kuwashuhudia wakipoteza ndugu na jamaa kwa hili si jema. Hizi ni picha ambazo wapo washuhudia mabomu yanavo rushwa.
Kusimame dunia nzima kupinga haya sisi ni wanadamu
======
s the sun begins to sink over the Mediterranean, groups of Israelis gather each evening on hilltops close to the Gaza border to cheer, whoop and whistle as bombs rain down on people in a hellish warzone a few miles away.
Old sofas, garden chairs, battered car seats and upturned crates provide seating for the spectators. On one hilltop, a swing has been attached to the branches of a pine tree, allowing its occupant to sway gently in the breeze. Some bring bottles of beer or soft drinks and snacks.
Israelis gather on hillsides to watch and cheer as military drops bombs on Gaza
Harriet Sherwood: People drink, snack and pose for selfies against a background of explosions as Palestinian death toll mounts in ongoing offensivewww.theguardian.com