Hata ukiangalia video za mabomu yakidondoka walikuwa wanapiga tu random, haya target sehemu moja, barabarani majeruhi na maiti kibao, sijajua sheria za JF zinasemaje ila kama zinaruhusu naweza kuzieka humu.Kusema ukweli kama ukabila,udini sasa inatosha.kitendo cha kufanya watu wa gaza ,palestina kuwa sehemu ya kuwashuhudia wakipoteza ndugu na jamaa kwa hili si jema. Hizi ni picha ambazo wapo washuhudia mabomu yanavo rushwa.View attachment 1782995
View attachment 1782996
View attachment 1782997
View attachment 1782998
Kusimame dunia nzima kupinga haya sisi ni wanadamu
Mkuu naomba nitumie pm .. au Nitumie link nikashuhudieHata ukiangalia video za mabomu yakidondoka walikuwa wanapiga tu random, haya target sehemu moja, barabarani majeruhi na maiti kibao, sijajua sheria za JF zinasemaje ila kama zinaruhusu naweza kuzieka humu.
Hapana majeshi ya Israel muda karibia mwezi sasa hivi yanapiga watu,Hao hamasi ndo wanazingua wao ndo wakwanza kulusha mabom na ndo wakwanza kulialia pia ndo wanasababisha maisha ya wapalestina yanakuwa magum.
Kwanini Israel inakalia kwa mabavu makaazi ya PalestinaHao hamasi ndo wanazingua wao ndo wakwanza kulusha mabom na ndo wakwanza kulialia pia ndo wanasababisha maisha ya wapalestina yanakuwa magum.
Vita haitoisha na Israel haitakaa kwa amani kama wanavyotaka, Palestina hawana cha kupotezaMtakoma kuanzisha vita kwa kurusha Maroketi
Hii video live ya mabomu, unaona yalikuwa yanadondoshwa tu mtaani na sio ku target jengoMkuu naomba nitumie pm .. au Nitumie link nikashuhudie
Dahh! Hatari sana Mkuu .. Waliodhulumiwa Allah awape makazi MemaHii video live ya mabomu, unaona yalikuwa yanadondoshwa tu mtaani na sio ku target jengo
View attachment 1783062
Hii video ya impact barabarani watu walivyojeruhiwa ama kufa. Hapa ndio wanadanganya dunia kuwa wanaowapiga Hamas,
View attachment 1783067
Kinachofanyika huko sasa hivi ni genocide, kuna Settlers 3000 wa ki Israel wanatafutiwa PA kukaa.
AmeenDahh! Hatari sana Mkuu .. Waliodhulumiwa Allah awape makazi Mema
Ngoja tuone mwisho utakuwaje!Hii video live ya mabomu, unaona yalikuwa yanadondoshwa tu mtaani na sio ku target jengo
View attachment 1783062
Hii video ya impact barabarani watu walivyojeruhiwa ama kufa. Hapa ndio wanadanganya dunia kuwa wanaowapiga Hamas,
View attachment 1783067
Kinachofanyika huko sasa hivi ni genocide, kuna Settlers 3000 wa ki Israel wanatafutiwa PA kukaa.
Walimsulubu Yesu (mwana wa MUNGU)... seuze mimi na wewe?Kusema ukweli kama ukabila, udini sasa inatosha. Kitendo cha kufanya watu wa Gaza, Palestina kuwa sehemu ya kuwashuhudia wakipoteza ndugu na jamaa kwa hili si jema. Hizi ni picha ambazo wapo washuhudia mabomu yanavo rushwa.
Kusimame dunia nzima kupinga haya sisi ni wanadamu
======
s the sun begins to sink over the Mediterranean, groups of Israelis gather each evening on hilltops close to the Gaza border to cheer, whoop and whistle as bombs rain down on people in a hellish warzone a few miles away.
Old sofas, garden chairs, battered car seats and upturned crates provide seating for the spectators. On one hilltop, a swing has been attached to the branches of a pine tree, allowing its occupant to sway gently in the breeze. Some bring bottles of beer or soft drinks and snacks.
Israelis gather on hillsides to watch and cheer as military drops bombs on Gaza
Harriet Sherwood: People drink, snack and pose for selfies against a background of explosions as Palestinian death toll mounts in ongoing offensivewww.theguardian.com
Unajua huu ugomvi ulizuka lini au mkuu unasematu.Hao hamasi ndo wanazingua wao ndo wakwanza kulusha mabom na ndo wakwanza kulialia pia ndo wanasababisha maisha ya wapalestina yanakuwa magum.
Ndiyo jamaa eti wanayateteaWalimsulubu Yesu (mwana wa MUNGU)... seuze mimi na wewe?
Siyo watu kabisa hawa!!