Hawa Israel kweli ni wanadamu?

Hawa Israel kweli ni wanadamu?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,136
Reaction score
33,539
Kusema ukweli kama ukabila, udini sasa inatosha. Kitendo cha kufanya watu wa Gaza, Palestina kuwa sehemu ya kuwashuhudia wakipoteza ndugu na jamaa kwa hili si jema. Hizi ni picha ambazo wapo washuhudia mabomu yanavo rushwa.

Kusimame dunia nzima kupinga haya sisi ni wanadamu

======

s the sun begins to sink over the Mediterranean, groups of Israelis gather each evening on hilltops close to the Gaza border to cheer, whoop and whistle as bombs rain down on people in a hellish warzone a few miles away.

Old sofas, garden chairs, battered car seats and upturned crates provide seating for the spectators. On one hilltop, a swing has been attached to the branches of a pine tree, allowing its occupant to sway gently in the breeze. Some bring bottles of beer or soft drinks and snacks.

IMG_5320.jpg

IMG_5319.jpg

IMG_5318.jpg

Kusema ukweli kama ukabila,udini sasa inatosha.kitendo cha kufanya watu wa gaza ,palestina kuwa sehemu ya kuwashuhudia wakipoteza ndugu na jamaa kwa hili si jema. Hizi ni picha ambazo wapo washuhudia mabomu yanavo rushwa.View attachment 1782995
View attachment 1782996
View attachment 1782997
View attachment 1782998

Kusimame dunia nzima kupinga haya sisi ni wanadamu
Hata ukiangalia video za mabomu yakidondoka walikuwa wanapiga tu random, haya target sehemu moja, barabarani majeruhi na maiti kibao, sijajua sheria za JF zinasemaje ila kama zinaruhusu naweza kuzieka humu.
 
Hao hamasi ndo wanazingua wao ndo wakwanza kulusha mabom na ndo wakwanza kulialia pia ndo wanasababisha maisha ya wapalestina yanakuwa magum.
Hapana majeshi ya Israel muda karibia mwezi sasa hivi yanapiga watu,

Na alie tengeneza Hamas ni israeli
1. Palestina hawana Airport
2. Palestina hawana bandari
3. Palestina hawana jeshi
4. Ukitaka kwenda palestina inabidi uwe na visa ya Israel..

Kifupi palestina ni kisiwa kilichozungukwa na Israel, hakuna njia ya kupitisha silaha ama kuwasiliana na nchi nyengine bila kupitia israeli,

Kwa wakati mbalimbali viongozi wakubwa wastaafu wa Israeli wamekiri kufund Hamas hili wala sio siri.

Wanachofanya ni kutafuta Huruma kwa dunia ili wawaue Wapalestina vizuri.
 
Mkuu naomba nitumie pm .. au Nitumie link nikashuhudie
Hii video live ya mabomu, unaona yalikuwa yanadondoshwa tu mtaani na sio ku target jengo

Hii video ya impact barabarani watu walivyojeruhiwa ama kufa. Hapa ndio wanadanganya dunia kuwa wanaowapiga Hamas,

Kinachofanyika huko sasa hivi ni genocide, kuna Settlers 3000 wa ki Israel wanatafutiwa PA kukaa.
 
View attachment 1783062

View attachment 1783067

Dahh! Hatari sana Mkuu .. Waliodhulumiwa Allah awape makazi Mema
 
Hii video live ya mabomu, unaona yalikuwa yanadondoshwa tu mtaani na sio ku target jengo
View attachment 1783062
Hii video ya impact barabarani watu walivyojeruhiwa ama kufa. Hapa ndio wanadanganya dunia kuwa wanaowapiga Hamas,
View attachment 1783067

Kinachofanyika huko sasa hivi ni genocide, kuna Settlers 3000 wa ki Israel wanatafutiwa PA kukaa.
Ngoja tuone mwisho utakuwaje!
 
Kusema ukweli kama ukabila, udini sasa inatosha. Kitendo cha kufanya watu wa Gaza, Palestina kuwa sehemu ya kuwashuhudia wakipoteza ndugu na jamaa kwa hili si jema. Hizi ni picha ambazo wapo washuhudia mabomu yanavo rushwa.

Kusimame dunia nzima kupinga haya sisi ni wanadamu

======

s the sun begins to sink over the Mediterranean, groups of Israelis gather each evening on hilltops close to the Gaza border to cheer, whoop and whistle as bombs rain down on people in a hellish warzone a few miles away.

Old sofas, garden chairs, battered car seats and upturned crates provide seating for the spectators. On one hilltop, a swing has been attached to the branches of a pine tree, allowing its occupant to sway gently in the breeze. Some bring bottles of beer or soft drinks and snacks.

Walimsulubu Yesu (mwana wa MUNGU)... seuze mimi na wewe?

Siyo watu kabisa hawa!!
 
Hao hamasi ndo wanazingua wao ndo wakwanza kulusha mabom na ndo wakwanza kulialia pia ndo wanasababisha maisha ya wapalestina yanakuwa magum.
Unajua huu ugomvi ulizuka lini au mkuu unasematu.
 
Back
Top Bottom