we acha tu ndugu yangu yani nchi imekuwa kama embe bovu, inaendeshwa kimazingaombwe, kina Muhongo wamelewa madaraka wanapepesuka tu, mmiliki wa bar yupo magogoni anachekelea vijana wake walivyolewaau inaletwa ndege
huyu nchambi si naye alikuwa anamnanga kule mjengoni leo anacheka
Nikweli yale maneno aliyoyasema Yesu naona yanatimia. 'aliyenacho huongezewa bali yule asiyekuwa nacho hunyang'anywa hata kile kidogo alichokuwa nacho.
we acha tu ndugu yangu yani nchi imekuwa kama embe bovu, inaendeshwa kimazingaombwe, kina Muhongo wamelewa madaraka wanapepesuka tu, mmiliki wa bar yupo magogoni anachekelea vijana wake walivyolewa
Ametoa taarifa kwenye tume ya maadili!?