Hawa hapa wamefunika 2012

Hawa hapa wamefunika 2012

  1. Mzizimkavu
  2. Mbuzi mzee
  3. Bujibuji
  4. Boflo
  5. Watu 8
  6. Allien
  7. Mwa J
  8. Gwagambo
  9. Madamex
  10. Wote waliotuma
  11. Kyanamukendo
 
Waongezwe watu8 na C6 :amen:

Hahaha mkuu sisi bado ni undergrounds mbona....tunakuja kwa msimu tu.
but respect sana kwa Bujibuji, Ndallo, Allein, Mbuzi Mzee, MziziMkavu, Amavubi, Money Stunna, Boflo na wengine wengi tu kwa kulifanya jukwaa la mafoto kutokauka vya kutazamwa kila siku
 
Last edited by a moderator:
Hawa ni baadhi ya wana Jf ambao katika jukwaa la picha ndio wamenifurahisha kwa picha nzuri na wewe kama unao wa kwako unaweza kuongezea.
1.MBUZI MZEE
2.MZIZI MKAVU
wewe unamjua Allien au unamsikia? hao wawili hutoa quantity, ila huyu jamaa ni player, he has taste like a real african man, jamaa in terms of quality anashika namba moja wengine wanafuata
 
Last edited by a moderator:
I wish u Merry Xmas and Happy Nu Yha

309403_10151163298791006_1435373861_n.jpg
 
Kama muanzisha uzi hautomtaja Allien basi thread yako itakua batili. Tena awekwe namba Mbili maana namba moja Mbuzi mzee hana mpinzani. Lakini tusiwasahau watu kama Young Master, Silent Whisper, Kimbweka na Rungu hawa nao ni wakali wakuipamba JF katika lile jukwaa letu maalum kwa watu maalum.
 

  1. Mzizimkavu
  2. Mbuzi mzee
  3. Bujibuji
  4. Boflo
  5. Watu 8
  6. Dotworld
  7. Daud MCha-Goat
  8. asigwa
  9. scorpion
  10. AMAVUBI
  11. Marumia
  12. Taamu
  13. Ndalo
  14. yOUNG mASTER
  15. Allien
  16. Mwa J
  17. Gwagambo
  18. Madamex
  19. Wote waliotuma
  20. Kyanamukendo
 
Kama muanzisha uzi hautomtaja Allien basi thread yako itakua batili. Tena awekwe namba Mbili maana namba moja Mbuzi mzee hana mpinzani. Lakini tusiwasahau watu kama Young Master, Silent Whisper, Kimbweka na Rungu hawa nao ni wakali wakuipamba JF katika lile jukwaa letu maalum kwa watu maalum.

Nilidhani kwa jukwaa la maphotos
 
Back
Top Bottom