Hawa ghasia na onyo lake

cream.b

Member
Apr 17, 2010
72
2
Hivi huyu mama anakwenda mbele na kutamka kama kuna kigogo ana sambaza HIV kwa mabinti. kwa nini asitaje jina lake ilitumjue na wampeleke mahakamani. this is nonsense kabisa....
 
ni kweli kasema. angalia mwanachi la leo. nimeshangaa sana waziri mzima ambaye amekuwepo serikalini na bungeni kwa miaka mitano na zaidi na anafahamu kuwa kuna taratibu za kisheria za kuwachukulia hatua watu wa aina hii na anakaa kimya. halafu anakwenda kuwaambia haya wasichana wadogo wanaomaliza shule na kutafuta ajira serikalini. serikali ilyojaa rusha ubadhirifu na upendeleo. tuna kazi sana Tanzania.
 
Hivi huyu mama anakwenda mbele na kutamka kama kuna kigogo ana sabaza HIV kwa mabinti. kwa nini asitaje jina lake ilitumjue na wampeleke mahakamani. this is nonsense kabisa....



Mpaka leo hamjawazowea viongozi wenu....mie nshwazoea kabisa..NI WAROPOKAJI WASIO NA LOLOTE LA MAANA.

Kama kiranja wao mkuu alijidai anawajua wauza madawa ya kulevya na hakufanya lolote baada ya kusema, kwa nini tusiamini kuwa ni WAROPOKAJI TU!!!!

Na unatarajia nini kwa hawa wadogo
??

Wote lao moja na hizi ni kawaida yao.

THEY ARE NOT SERIOUS WITH THE FUTURE OF THIS COUNTRY
 
Asante Bibie Hawa kwa kuwa na huruma na wanawake. Umeanzisha mjadala mzuri sana. Wewe ni kiongozi shupavu. Sasa basi, jambo la kwanza...anza kusafisha ofisini kwako....Vigogo ndani mwako wamegeuza ofisi dangulo....busara zako zitapimwa hapa sasa kama unasema tuu au una memo...
 
Back
Top Bottom