Bengal
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 26,454
- 28,878
Covid19 wasubiri awamu ya Mzee wa gereji ama Ile ya Mzee wa tozo🤸🤸🏿♀️🤸🤸🏿♀️Wako akina Covid 19
Covid19 wasubiri awamu ya Mzee wa gereji ama Ile ya Mzee wa tozo🤸🤸🏿♀️🤸🤸🏿♀️Wako akina Covid 19
kulikuwa na chawa wazito sana humu ndani kuliko wewe , yuko mmoja aliitwa MsemajiUkweli au @biayetu hawa walikuwa timu jiwe , lakini wote wamekimbia , wewe nakupa miezi miwili tuMh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani Anachoangalia Ni uwezo wa mtu atakayekuwa na uzalendo wa kuwatumikia watanzania bila kuchoka, pia uongozi siyo umri Wala Rika Bali Ni uwezo wa mtu kuweza kumudu majukumu na kazi fulani kutokana na Elimu na uzoefu alionao mtu
Mtu anaweza kuwa kijana akaongoza vizuri na kuleta matokeo chanya na mifano ya vijana hao Ni mingi tu, lakini pia mtu anaweza akawa kijana akapewa nafasi fulani akaharibu au akaboronga Hadi mteuaji akabaki kushangaa tu na mifano ya aina ya vijana Hawa tunayo pia mingi tu hapa nchini
Lakini pia mtu anaweza akawa mwenye umri mkubwa akapewa nafasi na akafanya vizuri Sana kwa kutumia uzoefu alioupata katika safari yake ya kiuongozi mpaka kufika umri huo, vilevile huyo huyo anaweza akaharibu na kufanya kazi chini ya kiwango mpaka kushindwa kuleta matokeo chanya au tarajiwa,
Mimi Kama kijana naamini mh Rais wetu mpendwa mama Samia suluhu Hassani anateua watu na watu watateuliwa kuongoza au kushika nafasi fulani kutokana na uwezo walionao wa kuweza kumudu majukumu ya kazi fulani
Ikumbukwe pia kijana wa Leo ndio mzee wa kesho, hivyo kesho yake ya uzee ikifika hatuwezi tukamuacha tu kwa kuwa Ni mzee wakati tunajuwa namna alivyo mchapa kazi na anauzoefu wakutosha katika kazi, hivyo busara uzoefu hekima zinahitajika pia katika uongozi na siyo nguvu tu pekee, Tuangalie sifa za mtu na uwezo alio nao kiuongozi na siyo habari za kusema huyu aliwahi kushika nafasi fulani hivyo asipewe, kufanya hivyo Ni Kama kugawana ulaji badala ya kugawana majukumu ya kuwahudumia wananchi ,mbona hata marekani tunaona wazee wengi tu wakiteuliwa , jiulize hata Joe Biden anamiaka mingapi? Alipata Urais akiwa na miaka mingapi? Vipi ingekuwa huku kwetu? Si tungesema Ni mzee?
Mimi binafsi Nina Imani kubwa Sana na dhamira ya mh Rais wetu mpendwa katika kuijenga Tanzania yetu, Naamini Hateui mtu Kama sehemu ya kumpa ulaji Bali anamteua mtu amsaidie kuwahudumia na kuwatumikia watanzania
Lakini pia nimeona na sote Tumeona vijana wengi tu walioaminiwa na kuteuliwa na mh Rais wetu mpendwa kushika nyadhifa kubwa tu serikalini, Hivi mmesahau hata Yule mkurugenzi wa huko morogoro wilaya fulani ambaye alikuwa binti mdogo kabisa lakini ndani ya muda mfupi kaleta tija kubwa kimaendeleo licha ya kwamba uteuzi huo ulileta maswali Mengi? Naomba Tumwamini mh Rais wetu mpendwa katika dhamira yake njema ya kututumikia watanzania
kulikuwa na chawa wazito sana humu ndani kuliko wewe , yuko mmoja aliitwa MsemajiUkweli au @biayetu hawa walikuwa timu jiwe , lakini wote wamekimbia , wewe nakupa miezi miwili tu
Unateua watu unaoweza kufanya nao kazi na wakakuelewa,hakuna kuteua kwa kuokoteza hiyo haipo.Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Hawa Ghasia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya shirika la Masoko Kariakoo .
Tunampongeza mteuliwa kwa kupewa kitengo kipya .
Lakini tungali bado na maswali lukuki kwamba , hivi awamu hii ni lazima teuzi zirejeshe walewale waliokuwa na mavyeo huko nyuma , hivi ccm haina watu wapya , sasa hawa vijana wenu wanaotoa povu humu kutwa kucha watateuliwa lini ?
Aliyesema tunapinga hizi teuzi za kurudisha walioondolewa kwa sababu ni wazee ni nani , Mafuru , Mchechu na Rished Bade ni wazee wale , mbona tulipopinga kurejeshwa kwao hukusema sababu ni uzee ?Nimeshakwambia kuwa uongozi ni uwezo wa mtu kumudu majukumu yake na siyo umri, Naomba nikuulize hivi Joe Biden ana miaka mingapi? Yaani nyie saiz ndio maana mmepuuzwa na wananchi maana hamna hoja zinazoeleweka kwa watu
ccm wanachezea akili za watanzania, inatakiwa tuamke tuanze kuwakataa muda wote..tuwakemee mchana kweupe. Hii nchi sio ya wao wachache, ndani ya ccm naamini kuna vijana wengi tu wenye maarifa na elimu kubwa za kutosha kuwepo kwenye hizo nafasi, kutuletea mabibi na mababu kila mahala sasa tuseme yatosha. Zama hizi ziwe za vijana, vijana wapaze sauti tumechoka kwakweli...tunaletewa makapi kila mahali sasa🙁
Mimi sikupinga uteuzi wao maana uwezo wao siyo wakutiliwa mashaka hata kidogo, Ni wachapa kazi, wenye uzoefu na Elimu ya kutosha kusaidia katika kuleta mabadiliko chanya, Nyie ndio wapiga kelele wa kila uteuzi, sijuwi mnataka mteuliwe nyie?Aliyesema tunapinga hizi teuzi za kurudisha walioondolewa kwa sababu ni wazee ni nani , Mafuru , Mchechu na Rished Bade ni wazee wale , mbona tulipopinga kurejeshwa kwao hukusema sababu ni uzee ?
Vijana wepi au hawa wanao bet na kukata mauno bongofleva,singeliccm wanachezea akili za watanzania, inatakiwa tuamke tuanze kuwakataa muda wote..tuwakemee mchana kweupe. Hii nchi sio ya wao wachache, ndani ya ccm naamini kuna vijana wengi tu wenye maarifa na elimu kubwa za kutosha kuwepo kwenye hizo nafasi, kutuletea mabibi na mababu kila mahala sasa tuseme yatosha. Zama hizi ziwe za vijana, vijana wapaze sauti tumechoka kwakweli...tunaletewa makapi kila mahali sasa🙁
Ni wa kuondoa huyu hichi kizee Mana kinatuharibia nchi na kilale na matrilioni kilichoibiaMzee wa msoga anaharibu Sana hii nchi huyu Mzee ni hatari Sana Kwa ustawi wa nchi
Teuzi zote zinawahusu MAKADA wa thithiemu sasa wale wa mlengo wa kushoto tuwe wapoole tuRais Samia Suluhu Hassan amemteua Hawa Ghasia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya shirika la Masoko Kariakoo .
Tunampongeza mteuliwa kwa kupewa kitengo kipya .
Lakini tungali bado na maswali lukuki kwamba , hivi awamu hii ni lazima teuzi zirejeshe walewale waliokuwa na mavyeo huko nyuma , hivi ccm haina watu wapya , sasa hawa vijana wenu wanaotoa povu humu kutwa kucha watateuliwa lini ?
Screen ( Monitor ) iko Dodoma, Dar es Salaam na Zanzibar, ila Remote Control tokea tarehe 17 Machi, 2022 imeanza Kukaa Mkoani Pwani hasa Msoga Chalinze japo kuna muda huwa inakaa Msasani Jirani na kwa Mtoto wa Bakhressa, Ubalozi wa Rwanda na Yemen au Kawe Beach Jirani na Picollo.Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Hawa Ghasia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya shirika la Masoko Kariakoo .
Tunampongeza mteuliwa kwa kupewa kitengo kipya .
Lakini tungali bado na maswali lukuki kwamba , hivi awamu hii ni lazima teuzi zirejeshe walewale waliokuwa na mavyeo huko nyuma , hivi ccm haina watu wapya , sasa hawa vijana wenu wanaotoa povu humu kutwa kucha watateuliwa lini ?
Duh!!Screen ( Monitor ) iko Dodoma, Dar es Salaam na Zanzibar, ila Remote Control tokea tarehe 17 Machi, 2022 imeanza Kukaa Mkoani Pwani hasa Msoga Chalinze japo kuna muda huwa inakaa Msasani Jirani na kwa Mtoto wa Bakhressa, Ubalozi wa Rwanda na Yemen au Kawe Beach Jirani na Picollo.
Hongera aiseeRais Samia Suluhu Hassan amemteua Hawa Ghasia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya shirika la Masoko Kariakoo .
Tunampongeza mteuliwa kwa kupewa kitengo kipya .
Lakini tungali bado na maswali lukuki kwamba , hivi awamu hii ni lazima teuzi zirejeshe walewale waliokuwa na mavyeo huko nyuma , hivi ccm haina watu wapya , sasa hawa vijana wenu wanaotoa povu humu kutwa kucha watateuliwa lini ?
Hawa hawafai,ni wachumia tumbo.We want people with independent minds who can call a spade a spade,sio was kushikiwa akili.Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Hawa Ghasia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya shirika la Masoko Kariakoo .