hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 5,478
- 12,037
Maiti aliyefukiwa asipoguswa na nzi hatatoa funza nijuzeni
Iron Lady,jibu ni ndio maiti atakayefukiwa na kukingwa kabisa na inzi wasiweze kutaga mayai juu yake basi haitatoa funza(maggots).Si maiti tu hata kwa chakula ama nyama inayooza ikiwa protected vema kutokana na flies haitozalisha funza kamwe.