Hawa DFC ni genuine?

Hawa DFC ni genuine?

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,705
Wametuma majibu ya job application na kusema kuwa interview itafanyika Dodoma zilipo ofisi zao na kwa watakaoshindwa kufika ofisini basi wapange muda wa kufanyia interview kupitia Skype na wanatakiwa kulipia elf 11,500 kabla ya tar 11.

Swali langu ni je, hawa watu wapo kweli kwenye hizo ofisi kama inavyoonekana kwenye screenshot hapo chini?


20210205_152546.jpg
Screenshot_20210205-152427_Chrome.jpg
 
Wametuma majibu ya job application na kusema kuwa interview itafanyika Dodoma zilipo ofisi zao na kwa watakaoshindwa kufika ofisini basi wapange muda wa kufanyia interview kupitia Skype na wanatakiwa kulipia elf 11,500 kabla ya tar 11.

Swali langu ni je, hawa watu wapo kweli kwenye hizo ofisi kama inavyoonekana kwenye screenshot hapo chini?


Unapigwa baba.

Web sahihi ni hii

Angalia uandishi wao wa kuchanganya maherufi makubwa katikati ya sentensi.


Nasisitiza unapigwaa
Nasisitiza unapigwaaaaaaa
View attachment 1695426
 
Kama upo tayari kutoa sadaka kwa mizimu ya mtandaoni sawa
Sadaka yako itachukuliwa na wazee na hata hy kazi hutapata
 
Wametuma majibu ya job application na kusema kuwa interview itafanyika Dodoma zilipo ofisi zao na kwa watakaoshindwa kufika ofisini basi wapange muda wa kufanyia interview kupitia Skype na wanatakiwa kulipia elf 11,500 kabla ya tar 11.

Swali langu ni je, hawa watu wapo kweli kwenye hizo ofisi kama inavyoonekana kwenye screenshot hapo chini?


Peleka polisi mkuu, wanajaribu kukutapeli
 
Back
Top Bottom