Hawa askari wa JWTZ tunaoish nao mtaani .....

rutakana

Senior Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
119
Reaction score
72
Ndugu,naomba niwasilishe hili linalonkera kuhusu hawa ndugu zetu wa jwtz
Dah naishi mtaa fulan na familia mbili za askari wa jwtz,hawa jamaa kila mtu ana mke wake ila wapo vikosi tofauti,kilichonishangaza zaidi tabia zao wote ni sawa yan wote ni walevi,na wanapenda wanawake balaa(kugonga nje). Hawa wote ni rika yangu na wote wanamigogoro na ndoa zao yani kufokeana na wake zao na kupigana ni jambo la kawaida.
Kilichonifanya ni lete uzi hapa ni jinsi wanajisifia kwa kunywa pombe sana na kugonga mademu sana. Mwanzoni walikuwa marafiki zangu lkn sahv nmewachoka kila mara nasuruishi maugomvi kwny familia yan nawatetea ilihali nikijua ni ukweli wayafanyao.
Je wanajf wenzangu hili mmeshakumbana nalo huko hasa wale mnaoishi hawa jamaa ktk mitaa yenu na mnalionaje,kwangu mm sikubaliani nalo.
 
Kwa hiyo wewe unataka nini??

Mbona hueleweki?? So unaleta uzi kama huo sisi tufanye nini sasa???
 
Ndugu,naomba niwasilishe hili linalonkera kuhusu hawa ndugu zetu wa jwtz
Dah naishi mtaa fulan na familia mbili za askari wa jwtz,hawa jamaa kila mtu ana mke wake ila wapo vikosi tofauti,kilichonishangaza zaidi tabia zao wote ni sawa yan wote ni walevi,na wanapenda wanawake balaa(kugonga nje). Hawa wote ni rika yangu na wote wanamigogoro na ndoa zao yani kufokeana na wake zao na kupigana ni jambo la kawaida.
Kilichonifanya ni lete uzi hapa ni jinsi wanajisifia kwa kunywa pombe sana na kugonga mademu sana. Mwanzoni walikuwa marafiki zangu lkn sahv nmewachoka kila mara nasuruishi maugomvi kwny familia yan nawatetea ilihali nikijua ni ukweli wayafanyao.
Je wanajf wenzangu hili mmeshakumbana nalo huko hasa wale mnaoishi hawa jamaa ktk mitaa yenu na mnalionaje,kwangu mm sikubaliani nalo.

Acha umbea na kuingilia mambo binafsi ya watu ww.
 
Cyo umbea mkuu,ni jns wanavyoendesha maisha yao hadi naleta uzi huu huku ujue nmeshakeleka vyakutosha na hawa watu
 
mkuu ukikereka waambie wenyewe.... au ni jf members hao?
 
Back
Top Bottom