Ishu ni kwamba, huo mwenge na mbio zake kwa ujumla! kwa sasa ni zilipendwa! Kiufupi umeshapitwa kitambo na wakati.Basi kama hivyo hata makaburi yasilindwe..
Au hata wake za Marais waliostaafu wasilindwe...
Unajua maana ya hadhi?Huo mwenge umepewa hadhi...
Walinda mwengeHivi ni nani ataiba hili dubwana linalozindua umasikini kila mara ?
Hivi ni kweli kwamba nchi hii haina vya kulinda ?
View attachment 1954163
Hizo posho zao ni kodi za wananchiwaachie watu wajipatie posho zao,wataishije mjini hapa
zawadi kutoka kwa marafiki zetu wachina.Huu mwenge ulitengenezwa wapi?
Kama alitengeneza beberu, huko aliko anatucheka sana aisee
Kiboko yao Hamza hao wapumbavu..Hivi ni nani ataiba hili dubwana linalozindua umasikini kila mara ?
Hivi ni kweli kwamba nchi hii haina vya kulinda ?
View attachment 1954163
Na wao pia,ni wananchi wanalipa kodi pia.Hizo posho zao ni kodi za wananchi
lakini hata wewe ukiteuliwa nafasi kama izo hutochukua hata mia,hata hao tunaoambiwa wanakula kodi zetu wakiwa nje wanaongea maneno kama hayoHizo posho zao ni kodi za wananchi
Wakikua na kupata kazi huko halimashauri utawaona tu wakianza kuufurahiaHuo Mwenge ndio umebeba ushirikina wote wa ccm kushika hatamu.
Inaonekana Jiwe alitaka kuuwondowa kabisa usikimbizwe lakini wale wazee wa kwenye inner cycle wakamuonya fanya yote lakini mwenge usiuguse.
Ule mwenge ndio unatumika kila mwaka kuwapumbaza Watanzania, mimi nashukuru watoto wangu hakuna mwenye interest na ule ushirikina hata ikitokea unalala kwenye kata yetu huwezi kuwaona wakisogea huko.
Ukiwa na ndululu za kutosha bieri utamwagilia maua na Jonny Mtembezi utaoshea gari.
Ndio maana Lowassa alikua ana nia nzuri na watanzania, tunahitaji ukombozi wa kifikra kabla yakuweza kukombolewa kimaisha sisi wenyewe, hili dubwana kama lilishasaidia kuleta umoja, uzalendo na mshikamano wa kitaifa sasa hivi tunahitaji suluhu ya matatizo na sio vitu vya kuamini kama Mwenge, naungana na mtoa mada Tanzania sasa tunahitaji vitu tangible kama ajira zenye staha kwa vijana wetu 👍
Nakuona attacking midfielder wa Pinga pinga FC kwenye mechi isiyo na kombe wala point.Hadhi ya kishirikina? Hakuna mradi wowote uliozinduliwa na mwenge uliodumu hata kwa miezi 6, fanya uchunguzi.
Mi nkajua unalindwa na askari kumbe ni mamilioni ya pesaDuuuh hatari kweli moshi tuu unalindwa kwa mamilioni ya pesa
Hii nchi ya hovyo sana