Imezoeleka umbali kutoka pointi a kwenda b ni sawa na umbali kutoka pointi b kwenda a!ulishawahi kugundua kuna muda hii principle inakuwa sio applicable? Nioambie ni muda gani?au toa mfano!
Nilkuwa nakushtua kistaraabu tu ufanye marekebisho, kwa proper english ulipaswa useme "Have you realised it?" na si kama ulivyoandika wewe, haya tuendelee.
Hiyo principle ya distance from a to b = from b to a iko katika axioms na mawazo ya Euclid, na aliiandika katika kitabu chake "The Elements" (ni hakika kuna wengine walijua hilo, nimekumbuka chanzo muhimu na cha zamani kushinda vyote tu)
Kwa hiyo ukienda kwenye mawazo ambayo si ya ki Euclid, mawazo ambayo kuna pembetatu zenye nyuzi zaidi au pungufu ya 180, mawazo ambayo mistari miwili parallel inakutana, unaweza kukuta hicho unachokisema.
Basically you are talking about Non-Euclidian Geometry. Najaribu kutafuta hiyo scenario katika Euclidean geometry lakini haiji kirahisi.
Ukitaka kufuata topology theories za spatial dimensions unaweza kukubali pia hata katika Euclidean geometry "there are many ways to skin a cat". Kwa mfano, unaweza kutoka the British Isles (point A) kwenda the antipodes (point B) kwa kutumia surface of the earth which will be much more than cutting a shortcut through the eart, kwa hiyo unaweza kusema a to b may not be equal to b to a, depending on the route you take.
Poa Kana-ka-Nsungu!nimekupata haya ni matatizo ya kusomo shule za Changanyikeni,huko mwalimu anasisitiza wanafunzi kuongea Kiswahili zaidi kuliko English coz lugha ya asili ndio inatumika zaid.sometimes shule nyingine sio lazima darasani hata kwenye JF unapata.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha mkuu inaelekea wewe unatumia usafiri wa treni... sasa issue ya "rivaz" inakuwa tatizo ila sisi wa bajaji "rivaz kama kawa"
mfano wako ni mfu leta mwingine...... NajuuuuuuuuuuTA.