juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,485
We fekisha ila nnachojua papuchi sio feki,ni kulabua tu.Ikija kutafitika kuna papuchi feki i will start to get concerned.
Define love
According to a new survey 76 percent ya wanawake wana fake kuwa in love and only 34 percent ya wanaume wana fake.kwa nini haswa ?source fox and friends
kwanini hasa???!! yani kweli kabisa umekosa jibu la hiyo 'survey' yako dada? Me nadhani mtu ana fake love kwa mwenzie coz anakuwa hajampenda for real huyo mtu, but anaamua kufake na kuwa nae for his/her own benefits anazozitaka kutoka kwa huyo mtu.
mfano, most of women wanafake love kwa maslahi, yaani kumchuna tu au kupata benefits zingne anazozitaka, huku akiendelea kumtafuta/kumpata mtu wa type yake for real love. wanasema eti mwanamke akipenda, anapenda for real.
So fake love kwa wanawake, ni for masilahi tu, particularly on monetary basis. Ndo hapo unakuta demu anachuna pesa huku, afu anaenda kumpa mwanamme wake anaempenda. Think of 'kuchepuka' for women. Shikamoo miss chagga and co.
mfano, most of men huwa tunafake love for sexual benefits only. Yani nafeki love kwako ili nikugegede weeee, nikishakuchoka au nikishapata wa type yangu ninaemhitaji then nakudump. So basically, fake love kwa wanaume ni kupata ngono. Think of 'kuchepuka' for men.
In line of that, pia UGUMU WA MAISHA has caused the word 'TRUE LOVE' to remain a 'myth' in the world, especially in Africa scope.
N.B: Sh.its happen in love! So be cautious when dealing with the word 'love' coz it's a very complex nightmare.
-Kaveli-
marahaba @kaveli.. love ? love? again love?
na kutumiana pichahahahahaa, eti huyo anaota kuhusu 'true love' karne hii ambapo watu wana mioyo ya digitali. True Love ni mshiko tu... period!
-Kaveli-
we umeuliza sababu as to why people are faking love. nami nikaeleza kwa mtazamo wangu. afu now u telling me to define LOVE???! BTW what exactly do the contents of your thread intend to portray... the meaning of LOVE or the reason(s) for people to fake LOVE? Hueleweki.
Na kuhusu definition ya LOVE, ebu iulize google.
-Kaveli-
Fake everything.........
unakuta mwanamke ana nywele fake, kucha fake, kope fake, ngozi fake, kila kitu chake ni fake halafu anataka real man maninaaaaa real love jiwe ukiwa fake utapata fake tu
aiseee... mekupenda bure!
ahahahahha hata wewe
yaani nimekupenda sana for real, sifeki wala nini. Kitandani ndo kabisaaaa sithubutu kuufeki 'mchezo', na najua wewe unapenda zaidi 'mchezo' wa aina gani. :becky: :becky:
Umesahau swahiba...papuchi pia feki....mpaka bikra feki..........unakuta mwanamke ana nywele fake, kucha fake, kope fake, ngozi fake, kila kitu chake ni fake halafu anataka real man maninaaaaa real love jiwe ukiwa fake utapata fake tu