Have You Ever.......

Hili sredi babu anashindwa kulichangia asee....Limekaa kiujanaujana wakati babu mie nshazeeka.

Ila tu Mjukuu Mtiifu..........Ni afadhali ukajua he/she belongs to someone else kuliko akakuambia yuko alone na ni wewe tu katika maisha yake halafu ghafla akakuambia "am sorry, nilikuwa nakudangaya, jamaa yangu amerudi....so its over"...............Damn! Natamani kuua mtu....

Kwenye hii thread na haya majibu ya Asprini
mbona nahisi kama naongelewa mimi???................lol,
AU ndiyo yale maneno ya
MAHITAJI YA KIMSINGI YA BINADAMU YANAFANANA ILA MIPANGILIO, MATUMIZI,MIKAKATI NA UTEKELEZAJI WAKE UNATOFAUTIANA.
 
MTM and Lizy: Love is more of giving than receiving.

Yaah, but ni wangapi wako tayari kutoa mapenzi kiasi kile kile wanachopewa? Wengi wetu tunapenda kupendwa na kubembelezwa, utasikia mtoto wa kike anasema JAMAA KAFIKA KWELI, MIMI NAEGESHA TU!

This is slavery! Ndio anayosema mwanajamii One! Unapenda na kuhangaika, mwenzako anaona sifa tu, yeye haonyeshi mapenzi. Hebu jiulize, kwa nini umfanye mwenzako mtumwa kwa mapenzi! The world is full of broken hearts kwa sababu hizo! UKipendwa, shikamana!
 
Babu nisome katikati ya mistari hapa??

Hapana, soma chini ya mistari...........namaanisha hakuna kitu kibaya kama kuumizwa na mtu umpendaye, au kumkosa mtu umpendaye. Ni afadhali uendelee kutamani tu. Kwenye kutamani waweza vumilia na kusahau ukitendwa. Na maisha yakaendelea. Lakini ukiumizwa na umpendaye, kidonda hakiponi na kovu halitokei.

Sasa si heri nusu shari kuliko shari kamili?
 
MTM and Lizy: Love is more of giving than receiving.

Yaah, but ni wangapi wako tayari kutoa mapenzi kiasi kile kile wanachopewa? Wengi wetu tunapenda kupendwa na kubembelezwa, utasikia mtoto wa kike anasema JAMAA KAFIKA KWELI, MIMI NAEGESHA TU!

This is slavery! Ndio anayosema mwanajamii One! Unapenda na kuhangaika, mwenzako anaona sifa tu, yeye haonyeshi mapenzi. Hebu jiulize, kwa nini umfanye mwenzako mtumwa kwa mapenzi! The world is full of broken hearts kwa sababu hizo! UKipendwa, shikamana!
Huo ndo ubaya sasa....maumivu huanza pale mmoja anapohangaika wakati mwingine anachukulia kama mchezo
 
Dears
Am just asking

Have you ever love someone, I mean really love her/him............... only to face the truth that that person can not be with you because may be s/he is already taken/ belong to someone else?

How do you deattach yourself with that feeling................... What do you do/can someone do??
In this life thats normal.if you r i da situation first of all kubaliana na matokeao(face the truth kuwa huyo mtu si ridhiki),then pray to God for peace huku ukijichanganya na marafiki na kujishughulisha.With time you will heal and move on with your life. Ukianza kujifungia chumbani na kulia ndio mwanzo wa maBP na masheli na utateseka kwa muda mrefu.
And the good news ni kuwa kama umeamua kutulia na kufungua milango utampata mwingine atakayekupenda kwa moyo mmoja na kukusahaulisha machungu
 
Babu naomba nikuulize swali kidogo....umesema kwamba mtu akimuoa ampendae kweli hawezi kutoka nje ya ndoa.Je ina maana kwamba true love beats nature(as in mwanaume lazima awe na wanawake wengi)????

Umeanza mwone vile....!

Exactly....babu can prove beyond reasonable doubt kwamba True Love liko juu ya nature......Nilishawahi kufall in love na sikuona mwanamke mwingine duniani zaidi ya mama yangu......Sasa utamtongoza mama yako? Mapenzi ni upofu Lizzy, you get one you see only one..... Na akanitenda......I wish nisingekutana naye!......Na to tell you the truth, pamoja na kunitenda lakini akirudi...mama Matesha ajue ana mpinzani mkali..........Nadhani umenielewa sasa.
 
Self help is the best help. No one can improve you better than yourself can. No one can help you better than yourself can. To be happy, feel lucky and enjoy life, you need to be able to love yourself. You need to make yourself make the most of every moment, you need to help yourself make the fullest use of everything you have within. You need to keep improving yourself constantly, continuous improvement.

Accept yourself they way you are. Every individual has it's own set of strength and weaknesses. Accept that you are not flawless, stop self criticism (stop blaming yourself) and look within yourself. Stop worrying and be confident.

ASANTE SANA THE FINEST,USHAURI MZURI SANA,
ILA NINA OMBI MOJA KWAKO NA WENGINE,
MANENO MAZURI KAMA HAYA NAOMBA YAWE,
YANAANDIKWA KWA KISWAHILI,AU KISWA-ENGLISH
ILI MTU KAMA MIMI NINAYEJUA ENG 5% TU KATI YA 100% NIWEZE KUFAIDIKA NAYO.
NI MANENO MAZURI SANA JAPO UTEKELEZAJI WAKE SI RAHISI KIHIVYO.....
Ni ombi tu ndugu yangu....lol
 
Kuna wimbo wa zamani nimeukumbuka ghafla na sijui kwa nini umekuja muda huu na sijui aliimba nani, baadhi ya maneno yake yanasema
..........ingawa rohoni nimeshindwa(au sijui choka) .......
.........namuomba mola anisaidie.......
.........niweze kukusahau kabisa........
.........nipate mwingine kushinda wewe........

Kwa ukweli wa moyoni ni ngumu tena ni ngumu sana........lakini ukiamua .....inawezekana, omba Mungu.....na hilo litapita kama yalivyopita mengine.
 
1. kubali katika nafsi yako kua unampenda huyo ulomkosa fo whatever reason. usifanye appeal to situation (usijizuge kua aaah kwani fulani kitu gani wanawake/wanaume wapo wengi)
2. kubali kua pamoja na kumpenda koote lakini imeshindkana kua nae kwa sababu yooyote)
3.tambua kua kukataliwa sio kua wewe ni weak. hapa tunazungumzia mapenzi (hisia), na wewe sio wa kwanza kumkosa umpendae, na wala wewe sio w kwanza kupenda truly.
4. Zinapokuja hisia na mawazo juu yake usiyazuie.labda kwa pombe, kuchanganyika na wenzako au labda kwenda kama club, kanisani n.k. yaache yaje, muwaze sana, kama itafikia sehem hata ukahisi kulia nenda sehem yenye privacy liaweeeeeee mpaka kilio kiiishe. (ukifanya hivi hisia na mawazo hyatakutoka haraka ni kama unyazuia mlango wa kutokea.
5.baada ya hatua hyo ya 4 kupiata sasa fanya hayo nilokukataza kuyafanya hatika hatua hiyohiyo ya nne.(nenda kama church hivi, club, kwa marafiki, sikiliza kama mziki .nk depending on your interest. hpa sasa mawazo yatakutoka.
6. Mwisho mombe sana Mungu akupitishe hapo. Yeye anakujua vyema mno, anajua kua ungefall kwa huyo na ungemkosa lakini alikuacha ukafall.anajua kwa nini.
Mwombe akupe mtu atakae ushailisha kama uliwahi upend na ukaumia.
Kumbukua sio kila tunachokipenda/tamani ni chema kwetu.

Asante. Pole sana.
 
Kwenye hii thread na haya majibu ya Asprini
mbona nahisi kama naongelewa mimi???................lol,
AU ndiyo yale maneno ya
MAHITAJI YA KIMSINGI YA BINADAMU YANAFANANA ILA MIPANGILIO, MATUMIZI,MIKAKATI NA UTEKELEZAJI WAKE UNATOFAUTIANA.

Aisee Nnunu pole sana bwana.

Haya mambo, ni asilimia kubwa sana ya watu yamewakuta. Pole sana.
 
Umeanza mwone vile....!

Exactly....babu can prove beyond reasonable doubt kwamba True Love liko juu ya nature......Nilishawahi kufall in love na sikuona mwanamke mwingine duniani zaidi ya mama yangu......Sasa utamtongoza mama yako? Mapenzi ni upofu Lizzy, you get one you see only one..... Na akanitenda......I wish nisingekutana naye!......Na to tell you the truth, pamoja na kunitenda lakini akirudi...mama Matesha ajue ana mpinzani mkali..........Nadhani umenielewa sasa.

ha ha ha ha ha pamoja na maumivu yote aliyokupa kipindi kile,
lakini bado upo tayari kumsamehe na kuendeleza libeneke???
NAZIDI KUAMINI KUWA MAPENZI YA KWELI HAYAFI BALI YANAZIMIKA TU ( YANANYAUKA}......lol
 
Babu hii ndo raha ya kua na wajukuu...nisipokuchangamsha akili utasinzia muda wote!!

Nimekusoma na kukuelewa ....natamani ningeuliza swali lingine ila unaweza ukakasirika ukaninyima kulamba bakuli yako ya mtori....labda kama utanipa ruhusa!
 
Anything grandie!
 
ha ha ha ha ha pamoja na maumivu yote aliyokupa kipindi kile,
lakini bado upo tayari kumsamehe na kuendeleza libeneke???
NAZIDI KUAMINI KUWA MAPENZI YA KWELI HAYAFI BALI YANAZIMIKA TU ( YANANYAUKA}......lol

Sasa umeznza kunielewa.........Umpendaye kikweli akikutenda.......utaapa kwa miungu ya kwenu kuwa hutamsamehe na hutaki tena kumwona. Akija tena huna ujanja, unajimwaga kwake kama unaogelea vile......Ukimpotezea mazima ujue hukumpenda bali ulimtamani tu.
 
Umeanza mwone vile....!

Exactly....babu can prove beyond reasonable doubt kwamba True Love liko juu ya nature......Nilishawahi kufall in love na sikuona mwanamke mwingine duniani zaidi ya mama yangu......Sasa utamtongoza mama yako? Mapenzi ni upofu Lizzy, you get one you see only one..... Na akanitenda......I wish nisingekutana naye!......Na to tell you the truth, pamoja na kunitenda lakini akirudi...mama Matesha ajue ana mpinzani mkali..........Nadhani umenielewa sasa.

..Duh kuna watu wana bahati za mtende na kuzichezea .....................duh I just wish
 
mimi ninge muomba too huyo aliyeniponyoka kama kuna next life ulimwengu huu basi atlist aniwekee kipaumbele tuwe pamoja life hii nitajaribu kumsahau:A S 103:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom