AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
R u married?
Dear i thought we had already established that.... itabidi niku PM... This time for serious matters....
R u married?
Jamani kubadilisha jina kuna sababu nyingi. Lakini kikubwa ni kwamba kwa wanawake wengi.. (especially katika Africa yetu) swala ni je mume akidondoka/akarudi kwa muumba wake leo..na wewe uligoma kubadilisha jina..utakuwa na la kwako kweli? especially ndugu wakianza kukusakama kuhusu mali? Ofcourse hata kama umebadili jina siyo guarantee kwamba hutasumbuliwa..lakini you can be sure kwamba inasaidia unapopigania haki zako kama una jina la mume wako.
Ni vema watanzania wenzangu..tuache hii 'elitism'. Najua wengi tunaokuja humu JF tumeenda shule na haki zetu wengi tunazielewa lakini tujue kwamba kuna maelfu ya dada zetu na mama zetu hawana privileges tulizonazo. Kwa hiyo kubadili jina, to me I would say, inasaidia security. Leo Masanja nikioa..mke wangu anaweza akabadili au asibadili...lakini hii ni kwa sababu Masanja naelewa whay she should/should not do this.
Tupende kutoa ushauri tukiwa tunaangalia uhalisia wa maisha. Sometimes hizi human rights ziko kwenye vitabu na zinapatikana kwa wale wenye uwezo. Mimi nikiulizwa na ndugu yangu kule village kuhusu kubadili jina akioelwa.....definitely nitamwambia mama..fanya fasta!
Unaweza usibadili lakini....if you can afford it..not many can do that. Most of us know that.
Jamani kwa nini tunakuwa na negative mind kuhusu kubadilisha majina? Kuwa Mrs fulani ni kuonyesha kuwa wewe ni mke wa mr fulani! Ndio gharama za kungaa vidole! Unless, YOU ARE NOT PROUD OF YOUR HUSBAND, basi utakuwa na wasi wasi kubadilisha. Kingine, kwa nini tunafikiria kuachana iltakuwaje? Kama uliweza kubadilisha wakti mkiwa wote, utashindwaje wakati mkiachana?
Sisi wanawake tuna letu, hebu tuseme ukweli kwa nini hatutaki kubadilisha? Mrs clinton, Mrs Thatcher, Mrs Indira Ghandi and the list is endless.......pamoja na ukubwa wa madaraka yao, BADO WAMEBADILISHA MAISHA YAO