CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
charminglady umeongea jambo la msingi sana na haswa wale ambao wanawachukua toka kijijini na moja kwa moja anampa majukumu bila kujua lolote linalomhusu dada husika
Bro upo??...
Kimsingi kupimana afya ni jambo la dhahiri tu...
Na haingii akilini kumleta mtoto wa kulelea wanao halaf usijue hata historia na status ya afya yake..
charminglady nadhani ni suala la kwanza kabisa kwa mtu yoyote kuhoji afya ya wadada wa kazi pindi wanapoingia nyumba zetu. Ikiwezekana ni bora kumpeleka hospitali kabisa kumpima. Hilo la msingi sana wala hujakosea.Mu – hali gani wanaMMU????????
Kwanza naomba niombe radhi kama nitakuwa nimewakwaza.
Huwa ninajiuliza kuhusu afya za mahousegirl almaarufu kamabeki tatu. Unakuta mtu umeagiza beki tatu toka huko mashambani "kijijini", hufahamuhistoria yake, afya yake na hata tabia yake. Akifika ndo atakaye kuwaanamhudumia mwanao kwa kiwango kikubwa kutokana na ubusy wa majukumu.
Niliwahi kuzungumza na Doctor mmoja akasema, Iwapo hausgel atakuwa na maambukizi ya UTI ni rahisi sanakumuambukiza mtoto UTI hasa anapokuwa anamuogesha. (Madaktariumtanisahihisha katika hili). Pia anaweza akamumbukiza magonjwa mbalimbali kamaKifua kikuu n.k.
Je kuna haja ya kuwafanyia check up kabla hawajaanza kukaana wanetu???
Ni swali jamani na kutaka kueleweshwa tu. Msinishambulieplease!!!!!!!!!!! :A S-fire1:
Bro upo??...
Kimsingi kupimana afya ni jambo la dhahiri tu...
Na haingii akilini kumleta mtoto wa kulelea wanao halaf usijue hata historia na status ya afya yake..
Bro upo??...
Kimsingi kupimana afya ni jambo la dhahiri tu...
Na haingii akilini kumleta mtoto wa kulelea wanao halaf usijue hata historia na status ya afya yake..
Mu – hali gani wanaMMU????????
Kwanza naomba niombe radhi kama nitakuwa nimewakwaza.
Huwa ninajiuliza kuhusu afya za mahousegirl almaarufu kama beki tatu. Unakuta mtu umeagiza beki tatu toka huko mashambani "kijijini", hufahamu historia yake, afya yake na hata tabia yake. Akifika ndo atakaye kuwa anamhudumia mwanao kwa kiwango kikubwa kutokana na ubusy wa majukumu.
Niliwahi kuzungumza na Doctor mmoja akasema, Iwapo hausgel atakuwa na maambukizi ya UTI ni rahisi sana kumuambukiza mtoto UTI hasa anapokuwa anamuogesha. (Madaktari mtanisahihisha katika hili). Pia anaweza akamumbukiza magonjwa mbalimbali kama Kifua kikuu n.k.
Je kuna haja ya kuwafanyia check up kabla hawajaanza kukaana wanetu???
Ni swali jamani na kutaka kueleweshwa tu. Msinishambulie please!!!!!!!!!!! :A S-fire1:
hii kitu mbona ilishajadiliwa sana.
sasa nafikiri inabidi tuwapime afya na wageni wanaokuja; akianza chekechea tuwapime na matrons na watoto wenzake.
wazazi inabidi muwe mnapima kila mnapocheat (lunch time)
kanisani nearest neighbours wawe wanapimwa, kwani inahitaji a touch au a sneeze kumuambika mtu magonjwa yoyote.
Dada charminglady uko sahihi kabisa ingawa wengi wetu huwa tunatake for granted hivi vitu. Umenikumbusha mie nilimpata mmoja ambaye alikuwa anapandishaga mapepo wee hakuna rangi nliacha iona afu sasa yalivyokuwa na kusudi hayakupandaga wakati wa miezi ya mwanzo mwanzo mpaka nimeshamzoea na amekaa kitu cha miezi 6 hici wee... usiombe. Sasa hili hata sijui linapimwaje mwe! But nadhani ningelifuatiliaga historia yake ningejua na nisingekuwa na shock ya aina ile
Duh hii mbona ngumu kumpima. Kama ulivyosema mara nyingi tunapotafuta hg huwa tuko desperate sana sasa hii ya kumpima tena sijui kama inawezekana. Ukizingatia kumpata kwenyewe sio rahisi halafu ni nani atakupa historia yake, hivi hata kama wanajua ana history mbaya ni nani atakaethubutu kukuambia. Kumbuka umeagiza tu huyo hg na akapandishwa bus nawe umempokea ubungo nani utamuuliza historia ya huyo binti. Nakumbuka nilipataga hg kumbe alikua na TB na magonjwa mengine mengi tu sikujua na nilikaa nae kama wiki hivi baadae nikaona hayuko sawa kwenda hospt kumbe dada yule mgonjwa na mwisho alifariki. Ni kweli wanatakiwa wachekiwe afya zao lkn practically ni ngumu sana kufanya hivi wengi tunapima kwa macho tu, ukizingatia ndo ushahangaika kumpata .Mkuu wewe wasema, hivi umeshauona mmama navyopata shida wakati amemaliza maternity leave>?? anatakiwa kurudi kazini baada ya miezi mitatu, miezi miwili ya kwanza anakuwa na furaha ya mtoto afu mwezi wa mwisho ndo anahaha kusaka hausgeli unadahan atachagua huyu namfahamu ama simfahamua????
C.C: gfsonwin, snowhite, Ablessed, MadameX, MwanajamiiOne, FirstLady1, ladyfurahia, sweetlady, na wamama wote hapa jamvini.
Dada charminglady uko sahihi kabisa ingawa wengi wetu huwa tunatake for granted hivi vitu. Umenikumbusha mie nilimpata mmoja ambaye alikuwa anapandishaga mapepo wee hakuna rangi nliacha iona afu sasa yalivyokuwa na kusudi hayakupandaga wakati wa miezi ya mwanzo mwanzo mpaka nimeshamzoea na amekaa kitu cha miezi 6 hici wee... usiombe. Sasa hili hata sijui linapimwaje mwe! But nadhani ningelifuatiliaga historia yake ningejua na nisingekuwa na shock ya aina ile
hii kitu mbona ilishajadiliwa sana.
sasa nafikiri inabidi tuwapime afya na wageni wanaokuja; akianza chekechea tuwapime na matrons na watoto wenzake.
wazazi inabidi muwe mnapima kila mnapocheat (lunch time)
kanisani nearest neighbours wawe wanapimwa, kwani inahitaji a touch au a sneeze kumuambika mtu magonjwa yoyote.
Kama hayakupanda miezi ya mwanzo ina maana aliyapata akiwa hapo au??? Huyo kama ungelipata mtu anayemfahamu kwa undani angeliweza kukufahamisha.
Kuna magonjwa kama kifafa na asthma, iwapo uatatambua mapema ka huyu beki tatu ana matatizo kama hayo unaweza kusiisha kumchukua ama kuchukua taadhari. najua watu watabisha ila nimuhimu kufahamu vitu kama hivyo.
Lol, ......ni "hysteria!" tu hiyo.