St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,233
Jamani kina dada mbona hamtaji wanaowatongoza ili tufanye evaluation ya hii kitu.:horn:
1. Asprin😛lane:
2. Kimey
3.Teamo
4. ST.RR kishakili mwenyewe
5.Acid
6. Bacha
7.Uporoto
8.PakaMweusi
9.Bujibuji:A S 39:
10.Mr Prezident
11.. Baba Enock :roll:
12. The Finest -mkwe
nakija :A S thumbs_down:
WanaJF tuna mawazo mazuri sana ya kukutana na kufahamiana, ila kinachosikitisha ni kwamba ndani ya mikutano hii majibaba mengine inatumia kutufataki! Inatongoza kila mdada!! Tuwafanyaje hawa? tuanzishe wikleaks kwa ajili yao?
Popote pale ambapo kuna mkusanyiko wa Wanaume na Wanawake iwe mashuleni, vyuoni, makazini na hata katika zile nyumba zetu takatifu za ibada makanisa na misikiti n.k. kutongoza na kutongozwa ni kama kawa. Wajibu wako kila unapotongozwa na mtongozaji ni kukubaliana naye au kukataa utongozaji toka kwake.
Kwa ushauri tu itakuwa vizuri ukiweka signature yako na isomeke hivi, "Mibabu na Mibaba ya JF tafadhali msinitongoze."
Always remember that Mibabu na Mibaba ya JF need love too :behindsofa:
Have a great day
Hivi wababa wote wamesoma hii sredi? Kama bado najitolea kuwa pm moja moja ili wapate ujumbe.
Hivi wababa wote wamesoma hii sredi? Kama bado najitolea kuwa pm moja moja ili wapate ujumbe.
suijaelewa hii post,ni kwamba waliotajwa ndio suspects au nini?Jamani kina dada mbona hamtaji wanaowatongoza ili tufanye evaluation ya hii kitu.:horn:
1. Asprin😛lane:
2. Kimey
3.Teamo
4. ST.RR kishakili mwenyewe
5.Acid
6. Bacha
7.Uporoto
8.PakaMweusi
9.Bujibuji:A S 39:
10.Mr Prezident
11.. Baba Enock :roll:
12. The Finest -mkwe
nakija :A S thumbs_down:
bak... cheaters need love too... hahahaaaaaaaaaaaaaaPopote pale ambapo kuna mkusanyiko wa Wanaume na Wanawake iwe mashuleni, vyuoni, makazini na hata katika zile nyumba zetu takatifu za ibada makanisa na misikiti n.k. kutongoza na kutongozwa ni kama kawa. Wajibu wako kila unapotongozwa na mtongozaji ni kukubaliana naye au kukataa utongozaji toka kwake.
Kwa ushauri tu itakuwa vizuri ukiweka signature yako na isomeke hivi, "Mibabu na Mibaba ya JF tafadhali msinitongoze."
Always remember that Mibabu na Mibaba ya JF need love too :behindsofa:
Have a great day
Hivi wababa wote wamesoma hii sredi? Kama bado najitolea kuwa pm moja moja ili wapate ujumbe.
Mimi ukini PM nakutongoza
Humu ndani kuna WABABU, WABABA, WAKAKA, na WATOTO. Sasa utawatambuaje WABABA?
Tumesoms na kuelewa sasa Hus nitakuwa Dom wiki ijayo unaonaje tukipata snack pamoja jioni? wala sio usiku sijui bar wala club.
Hahahahaaa!! hii nimeipenda.
Tatizo letu wa bongo wengi hufanya kinyume. Mahali penye choo palipoandikwa na kuandaliwa kwa kujisaidia huwa tunapaacha tunaenda kujisaidia mahali pameandikwa "USIKOJOE HAPA"
Au kwenye mapipa ya taka huwa hatutupi taka tunaenda mahali pameandikwa "USITUPE TAKA HAPA"
So usishangae ujumbe huu ndo ukavutia zaidi mijibaba hiyo!
Hahaha! i like your thinking lol! Naona thanks zimeongezeka 2 nami usinisahau lol!hilo nalo neno.
Basi tufanye wale wote wenye miguu mitatu.
Unaonaje ukitumia rangi ingine kuna wakina sisi ambao macho si mazuri.Nashukuru umeipenda ningekugongea THANKS kama 50 ningekuwa na uwezo huo. Kutongoza na kutongozwa si dhambi popote pale hata JF. Hapa kuna wanawake wa kukata na shoka shule zimepanda sana, wakishusha vitu vyao hapa jamvini iwe kwenye jukwaa hili, lile la siasa n.k. unaweza kusimama dede kwa mtiririko mzuri uliopangwa na ukapangika. Sasa kama njemba imeoza na huyo binti kwanini isichangamke!? Si dhambi kuchangamka ila binti ana haki ya kujibu, "Miye nina wangu" au vyoyote vile ili mradi tu kumpiga chini mtongozaji ambaye bila shaka atasepa kivyake vyake. Msije kushangaa kusikia maharusi fulani na fulani walikutana kule JF na wakapendana kupita kiasi na hatimaye kuamua kufunga pingu za maisha 😛oa
Hahaha! i like your thinking lol! Naona thanks zimeongezeka 2 nami usinisahau lol!
Acha hizo my spanish lady kutoa ni moyo tu mi kila anejibu post yangu namshukuru nimekupa kama 15 hivi.hebu nielekeze vizuri jinsi ya kushukuru.
Unajua nilifanya kubahatisha tu. Sikujua kama zimeongezeka. Sijui nikasome course ya computer!! Lol!
Acha hizo my spanish lady kutoa ni moyo tu mi kila anejibu post yangu namshukuru nimekupa kama 15 hivi.