Si suala la kufanikiwa ,Tume huru ni lazima wakitaka wasitake au tuvunje vyama vya upinzani tukaivamie CCM mpaka wajue maana ya kikulacho.ccm wanajua fika mbele ya tume huru hawawezi kutoboa ndo maana wanafanya juu chini hilo lisifanikiwe.
Upinzani ungekua na sauti moja, jambo hili lingekua jepesi sana bt tatizo kubwa vyama vingine vinatumika.Si suala la kufanikiwa ,Tume huru ni lazima wakitaka wasitake au tuvunje vyama vya upinzani tukaivamie CCM mpaka wajue maana ya kikulacho.
Tinataka katiba mpya ndani yake ipo tume huruccm wanajua fika mbele ya tume huru hawawezi kutoboa ndo maana wanafanya juu chini hilo lisifanikiwe.
Ukiingiza katiba mpya kwa sasa japo ni madai yaliyo huru kwa maana yapo pamoja na Tume Huru, miaka mitatu sio mingi tena, umewasikia CCM wakipigana madongo juu ya nani, akina nani wanajipanga 2025, hayo ni yao na kwao imekuwa ni kinyang'anyiro cha kufa mtu, kwa sababu anajua fika akivuka ndani ya chama basi huko mbele ni kweupe, tume polisi majeshi usalama wote wanalinda uchaguzi usiwe wa haki ila uwe wa amani.Tinataka katiba mpya ndani yake ipo tume huru
Nakumbuka vizuri. USSR ilibibidi wanamageuzi wampandikize Gorbachev ndani ya chama cha kikomunisti cha Urusi. Na alipofanikiwa kukawa na democracy iliyopelekea yale mataifa mengine kujitawala kidemocracy eg Lithuania, Latvia, Georgia etc .Si suala la kufanikiwa ,Tume huru ni lazima wakitaka wasitake au tuvunje vyama vya upinzani tukaivamie CCM mpaka wajue maana ya kikulacho.
Wanaovitumia ndiyo wenye hivyo vyama.Wapinzani makini utawatambua kwa idadi ya viongozi wao wenye kesi lukuki zinazoitwa za uchochezi,kuzuiliwa kufanya mikutano na maandamano.upinzani ungekua na sauti moja, jambo hili lingekua jepesi sana bt tatizo kubwa vyama vingine vinatumika.
upo sahihi mkuu, bt haya mapandikizi ya vyama ndo yanadhoofisha juhudi za wapinzani wa kweli, mfano juzi kati imeundwa tume kazi ya tume huru, bt waliounda tume ile ni ccm na mamluki wao, haya yote yanafanyika kwa lengo la kudhoofisha madai ya katiba mpya.Wanaovitumia ndiyo wenye hivyo vyama.Wapinzani makini utawatambua kwa idadi ya viongozi wao wenye kesi lukuki zinazoitwa za uchochezi,kuzuiliwa kufanya mikutano na maandamano.
Kweli Mkuu,ila kelele zetu hazitoenda bure.Angalia idadi ya wana CCM wanaojitambua wanaoongelea haja na umuhimu wa Katiba mpya inavyoongezeka.Pia mwenendo wa kesi ya Mwenyekiti Mbowe inavyowapiga kata funua watesi wetu-wasiojulikana sasa wapo dhahiri.upo sahihi mkuu, bt haya mapandikizi ya vyama ndo yanadhoofisha juhudi za wapinzani wa kweli, mfano juzi kati imeundwa tume kazi ya tume huru, bt waliounda tume ile ni ccm na mamluki wao, haya yote yanafanyika kwa lengo la kudhoofisha madai ya katiba mpya.
Wewe ndiyo hupanga wagombea toka vyama vya upinzani?Umefahamuje ndiyo hao?Hata hivyo nakuhakikishia ikiwepo Tume Huru ya Uchaguzi hakika Mh.Hashim Rungwe anaishinda CCM.Kwa sasa hata upinzani nao umeishiwa hoja hawajielewi nao ni wachumia matumbo. Imagine 2025 wagombea ni akina Lipumba, Rungwe, ZZK, Mbowe
Kwa kifupi hao tumeishawachoka maana tokea tunaanza mfumo wa vyama vingi ndo wagombea. Kwa kifupi Upinzani hakuna Tz kwa sasa labda 2030 napo mkijipanga vizuri. Imagine Tundu Lisu, Lema walikimbia walisema serikali ya JPM inawatishia usalama haya JPM hayupo mbona hawarudi wanapigia kelele hukoWewe ndiyo hupanga wagombea toka vyama vya upinzani?Umefahamuje ndiyo hao?Hata hivyo nakuhakikishia ikiwepo Tume Huru ya Uchaguzi hakika Mh.Hashim Rungwe anaishinda CCM.
Hivyo usiwakejeli Watanzania wenzako as if huko CCM kuna malaika na lazima mtawale.Weka fair grounds muone.
Kwani kwenye CCM ukimuondoa Samia nani mwingine anaweza kuwa Rais?Kwani wote waliomo kwenye mfumo tunawajua.Kwa sasa hata upinzani nao umeishiwa hoja hawajielewi nao ni wachumia matumbo. Imagine 2025 wagombea ni akina Lipumba, Rungwe, ZZK, Mbowe
Hii Wamarekani wanaita "bait and switch".CCM ni malaghai wanaotumia ujinga wa Watanzania kutapeli wananchi:
Wakati wa kampeni👇
View attachment 2079005Baada ya kuingia Ikulu👇🐒View attachment 2079011