Sio kama tunapenda kuwavizia usiku ili tuwakabe kwa nia ya kuwaibia.....HATUPENDI ILA TUTAFANYAJE
Sio kama tunapenda kushinda kutwa nzima kwenye betting station tukihesabu odds.... HATUPENDI ILA TUTAFANYAJE
Sio kama dada zetu wanapenda kuuza miili yao kwa kufanya sehemu zao za Siri kama chanzo Cha mtaji....HAWAPENDI ILA WATAFANYAJE
Sio kama tunafurahia kuitwa majobless,kula kunya nyumbani kwa wazazi,shemeji au shangazi.... HATUPENDI ILA TUTAFANYAJE
Sio kama tunapenda kufanya kazi za viwandani kwa siku nzima unatoka na buku 4,kubeba zege kuokota makopo,kupiga debe.... HATUPENDI ILA TUTAFANYAJE
Na sio kama tunapenda kuuza bangi mtaani au kusafirisha madawa ya kulevya ilhali najua kuwa Kuna kukamatwa na kupewa adhabu Kali.... HATUPENDI ILA TUTAFANYAJE
Najua unaweza sema nirudi shambani ,vipi naweza kupata Mali ya shambani bila mtaji???unadhani nakataa kwenda VETA ,nikimaliza nitautumiaje huo ujuzi bila mtaji...au unataka niwe nyoka wa kijiwe wakati umri ushaenda?????
Tunaishi inavyobidi tuishi