Hatuongei siku ya tatu leo

Status
Not open for further replies.
sasa umepata mbinu ya kutatua tatizo,naona Kimyaaaa!!!!
 

alaaaaa.kumbe ndoa zina changamoto hivi???
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
yaani comment imejaa umbea kama jina lako nitonye. kuna wanaume marijali nikisema nimetupia mtandio wa kichina wanaharibikiwa humu ndan

cc OLESAIDIMU


Asome tangu mwanzo,watu washabadili na za ndani kwa imagination tu yeye anaulizia saa hizi!!!!!!

Chezeiyah uchuu veve
 
Last edited by a moderator:
bado ila mood zinaanza kumtoka ameanza kuongea namvutia pumzi kikubwa

Sasa fanya ivi usimuulize kitu chochote kama unafanya kazi jitaidi kurudi mapema kabla yake pika chakula anachopenda oga vizuri piga brash pwapwi yako vizuri. Akirudi mpe chakula kidogo ambacho unajua ashibi' uku na kanga moja ya zamani ishike kimitego kaa kiasara asara sana ata milalo yako ya ajabu ajabau. Kazi ya siku mbili utanipa jibu
 

Haaaa...mr mpole ndio mitego ya mama hiyo..chezea wanaume anaweza akafnya vyote hivyo na ajikaushe..kuna mijitu mijeuri
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…