Hatuongei siku ya tatu leo

Status
Not open for further replies.
Pole mpenzi na sorry kwa kuchelewa kuitika wito nilikuwa nakoroma mwe:smile-big::smile-big::smile-big:...Inabidi ujitoe mhanga sasa bi shost jiweke fresh vaa ile sexy lingerie au mtandio wa dera :A S tongue🙁nimejifunza kitu kipya mwe),jifukize udi kisha mfate kama alivyosema @olesaidimu au ikiwezekana mtumie sms mwambie aje chumbani kuna zawadi yake mwe
 
Lakini hakikisha amekula lunch na dinner iwe nzuri mpenzi sawa.... akienda kuoga mfuate alafu mfanye kwa nguvu
 
Unaishi kwa tetesi?
Ndio maana mnanuna nuna hovyo

Ikiitwa clue unaona ndio ya maana eeenh!!!!!
Subiri mpaka mtego wa kunasiana ndio utajua kuwa quickie ni penzi au mashtuzi tuu!!!!
 
OLESAIDIMU na Ennie mbona mnatongozana kwenye uzi za wenzenu? go PM huko hatawaona mtu

Mtu mzina anatongozwa au anaambiwa nia tu na kujadili logistics???!!!!
Au ndio maana umekataliwa asubuhi Sista sababu ulianza kuimbisha mtu kavaa boxer tu????!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mtu mzina anatongozwa au anaambiwa nia tu na kujadili logistics???!!!!
Au ndio maana umekataliwa asubuhi Sista sababu ulianza kuimbisha mtu kavaa boxer tu????!!!!!

ha ha ha ha mbona unakuwa hivyo? kwenye ndoa haturuhusiwi kulala na boxer. tunaziona kama suruali au nguo zingine
 
Last edited by a moderator:

Lucky you! !!!
Mwenzio tangu swalaa kaachama mdomo lakini waaapi hata maji ya kukatia kiu bado kupewa!!!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha mbona unakuwa hivyo? kwenye ndoa haturuhusiwi kulala na boxer. tunaziona kama suruali au nguo zingine

Haaaaa hapana asee mi nikimaliza tu fasta kwa boxer! !!!!!
Hiyo mambo ya kulala wazi tena.kama hapo mnuno ndio kabisaaaa!!!!
Ila jamaaaa ana mapozi huyo asee yaani umemlaza na khanga umemgusisha nyama za kukalia,shika kiuno waaaapi!!!!!

Hana undugu na jamaa wa geti la magharibi???!!!!
 
mimi49 nashukuru kwa kujali. nakuonea wivu uko fresh. achana na huyu OLESAIDIMU leo kaamka kama amekunywa juice ya ndimu
Nakucheka sababu mjanja maneno kibao ila umeshindwa kumgegedesha huyo mtu hapo!!!!!?????
Waeza kuta ye mwenyewe anasema "akimaliza kupika leo ntamkamua mpaka ajue kuwa mimi ni mumewe" ukimaliza kula ingia na maji chumbani najua utapotea tu mida flani
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…