Hatuna imani na serikali wala ccm-mbatia

Kafulila alitoa statement nzito sana juu ya msimamo wa chama ambayo katika hali ya kawaida ilipaswa kutolewa na chairman...; anyway, labda waliwasiliana kabla ndio maana chaiman naye ameamua ku-fall in line retrospectively
 
M.kiti wa chama cha nccr mageuzi amekutana na wandishi wa habari kutangaza msimamo wa chama chake kuwa hakiko tayari kwa mazungumzo na serikali ya kifisadi ya ccm wala rais wake jk katika suala zima la katiba. Huo ndio msimamo wa mbatia. Ameamua kula moto na ccm na serikali kwelikweli. Wandishi walibaki tunashangaa kaama kweli huyu ndiye mbatia tulimjua? Mabadiliko haya ya ghafla kulikoni?
Hivi Kafulila na Mbatia wapo tofauti?Mbona Kafulila ambaye ni katibu mwenezi alishatoa msimamo wa Nccr?Kauli ya Kafulila ilikuwa nzito kuliko kauli ya Mbatia!Labda kama Mbatia hana imani na Katibu mwenezi! .Mbatia anasema hana imani na CCM kwani hapo mwanzo alikuwa na imani na CCM?
 
Tatizo Mbatia anang'ang'ania Cheo cha uenyekiti kama Maalimu Seif anavyotaka kuwazingua Cuf.Vibaraka wote wa CCM lazima watoke!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom