LESIRIAMU
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 8,721
- 13,959
Mara ya mwisho umefika lini lower Moshi. Halafu kwa taarifa yako Lower Moshi ilikuwa ni msaada wa Japan ndio maana walimaliza. Lakini sasa ukifika lower Moshi ni jalalaunauhakika na hiki ulichogandamizia RED?
Vipi lower moshi irrigation scheme?
Vipi dakawa irrigation scheme?
Kapunga?
Kilosa?
name them.........................
Sent using Jamii Forums mobile app