shamajengo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 1,217
- 1,434
I won't forgert nikiwa form two one day nimerudi shule bi mkubwa kapika ugali lakini mboga hakuna, alitegemea kwa jirani lakini alikosa..aliniambia mwanangu chukua chumvi hiyo hapo kula na ugali utashiba pia usisahau kunywa maji...leo bahati mbaya nimekosa mboga... nikikumbuka hizi scenario najikuta nampigia bi mkubwa simu bila hata sababu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app