Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,291
- 3,568
... fikra hizi zitatuchelewesha sana!Nchimbi ametumwa na Samia kuhadaa watanzania, yeye na Samia ndiyo walimteka Polepole kwa kushirikiana na Kikwete. Hawa wakiingia kwenye 18 lazima waadhibiwe.
Kwenye hili nakataa.Nchimbi ametumwa na Samia kuhadaa watanzania, yeye na Samia ndiyo walimteka Polepole kwa kushirikiana na Kikwete. Hawa wakiingia kwenye 18 lazima waadhibiwe.
Yule Yuda yupo kwenye mikono salama maana naye anavaa delay na analo kundi lenye nguvu kama la mfalmeEnzi zile Polepole akifanya hikihiki tuliambiwa mengi sana,wengine walisema maigizo,wengine walisema ni shujaa tuliyemsubiri muda mrefu lakini hatukumlinda,kwa kuwa Yuda amekuja kuomba msaada kupata nguvu ya Umma basi tuache maneno tumlinde,asijekupotea kama Polepole ndio tujilaumu hatukumlinda.
Mimi niko tofauti na huu mtazamo. Ninachoamini hadi sasa ndani ya ccm kuna mgawanyiko. Kuna watu wanaamini kwenye matumizi ya nguvu, hila na vitisho ili kufikia malengo yao ya kisiasa! Na kuna wengine wanatamani kuwepo na muafaka wa Kitaifa.Nchimbi ametumwa na Samia kuhadaa watanzania, yeye na Samia ndiyo walimteka Polepole kwa kushirikiana na Kikwete. Hawa wakiingia kwenye 18 lazima waadhibiwe.
Hao watu wema CCM wapo ila sio huyu mpumbavu nchimbi na samia.Mimi niko tofauti na huu mtazamo. Ninachoamini hadi sasa ndani ya ccm kuna mgawanyiko. Kuna watu wanaamini kwenye matumizi ya nguvu, hila na vitisho ili kufikia malengo yao ya kisiasa! Na kuna wengine wanatamani kuwepo na muafaka wa Kitaifa.
Yaani kuwepo walau na haki kwa wapinzani kama ilivyokuwa zamani. Kura ziliibwa, lakini wapinzani waliambulia chochote. Ila tangu 2019 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka 2025 kwenye uchaguzi mkuu, mambo yamekuwa ni tofauti kabisa.
Nakataa, hajatumwa na samia.Nchimbi ametumwa na Samia kuhadaa watanzania, yeye na Samia ndiyo walimteka Polepole kwa kushirikiana na Kikwete. Hawa wakiingia kwenye 18 lazima waadhibiwe.
Kubali usikubali huu ni mkakati wa CCM na mtoa wazo ni fala mmoja anaitwa Kikwete, sasa kamwambieni safari hii HATUKUBALI na he will pay the price.Nakataa, hajatumwa na samia.
Lile nyomi la Kaunda suti linalomlinda halitoshi?Enzi zile Polepole akifanya hikihiki tuliambiwa mengi sana,wengine walisema maigizo,wengine walisema ni shujaa tuliyemsubiri muda mrefu lakini hatukumlinda,kwa kuwa Yuda amekuja kuomba msaada kupata nguvu ya Umma basi tuache maneno tumlinde,asijekupotea kama Polepole ndio tujilaumu hatukumlinda.
Hapo labda wamrudishe Mbowe. Moto wa Lissu na Heche unauonaje Mkuu?Mimi niko tofauti na huu mtazamo. Ninachoamini hadi sasa ndani ya ccm kuna mgawanyiko. Kuna watu wanaamini kwenye matumizi ya nguvu, hila na vitisho ili kufikia malengo yao ya kisiasa! Na kuna wengine wanatamani kuwepo na muafaka wa Kitaifa.
Yaani kuwepo walau na haki kwa wapinzani kama ilivyokuwa zamani. Kura ziliibwa, lakini wapinzani waliambulia chochote. Ila tangu 2019 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mpaka 2025 kwenye uchaguzi mkuu, mambo yamekuwa ni tofauti kabisa.
Kabisa mkuu.Naona mmeingia kwenye mfumo 😂
Samuya na Nchimbi wakiona haya, wanaenda kuchekea chooni
Wabongo sisi ni nyumbu aisee.Kabisa mkuu.
Ondoa jina la NchimbiHao watu wema CCM wapo ila sio huyu mpumbavu nchimbi na samia.
I do think Ponjoro u're wrong !Hao watu wema CCM wapo ila sio huyu mpumbavu nchimbi na samia.
Huwajui ccm weweI do think Ponjoro u're wrong !