Hatujathubutu, hatujaweza, hatusongi mbele!

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Kauli mbiu ya Miaka hamsini ya Uhuru wa Tanganyika ni danganya toto na ni uongo wa mchana. Jinsi mambo yalivyo kwa ujumla wake,si uhaini kuwalisha watu kauli mbiu kama hii?
 
USANII WA MANENO!
Sisi ni wazuri sana wa kuunda manenop mazuri mazuri ya kuwavutia wenye hela ili watutoe!
Ndio maana kwa kuremba huko maneno, hata nchi za mashoga wanatesti zali kama wanaweza kutuwekea vidole!
 
ni kwel mwana jamii mwenzangu,na kilichonikela n wasanii ambao nilikuwa nawaheshim kam prof j kuimba miaka 50 ya uhuru
 
Kauli mbiu ya Miaka hamsini ya Uhuru wa Tanganyika ni danganya toto na ni uongo wa mchana. Jinsi mambo yalivyo kwa ujumla wake,si uhaini kuwalisha watu kauli mbiu kama hii?

Waliotunga kauli mbiu wana akili na ina mantiki sana kwa mazingira yetu ya sasa. Inategemea tu unaiangalia kutoka kwenye muktadha upi. Mfano nikisema kuwa waliotunga walikuwa na maana: Tumethubutu kufisidi nchi, tumeweza na sasa tunasonga mbele nitakuwa nimekosea? Au tumethubutu kuchakachua uchaguzi, tumeweza na tunasonga mbele - yaani kuchakachua kwa kwenda mbele.
 
Kwa hilo mkuu watakuwa sawa, Lakini kiualisia kauli mbiu yao ni funika kombe mwanaharamu apite , wanajikosha tu hao hakula lolote hapo.
 
Waliotunga kauli mbiu wana akili na ina mantiki sana kwa mazingira yetu ya sasa. Inategemea tu unaiangalia kutoka kwenye muktadha upi. Mfano nikisema kuwa waliotunga walikuwa na maana: Tumethubutu kufisidi nchi, tumeweza na sasa tunasonga mbele nitakuwa nimekosea? Au tumethubutu kuchakachua uchaguzi, tumeweza na tunasonga mbele - yaani kuchakachua kwa kwenda mbele.

kudos tata kwa ufafanuzi..
 
Kauli mbiu ya Miaka hamsini ya Uhuru wa Tanganyika ni danganya toto na ni uongo wa mchana. Jinsi mambo yalivyo kwa ujumla wake,si uhaini kuwalisha watu kauli mbiu kama hii?
Unataka kuniambia Serikali inatumia Mabillioni ya pesa kueneza kitu cha uongo??
 
Kwani jambo geni kwa Jamhuri yetu.Mbona Lowassa aliwahi kwenda Thailand kununua mvua?
 
Inanisikitisha sana kufanya Sherehe kubwa wakati kazi iliyofanyika ni ndogo sana.
 
hatujawahi kuthubutu, hivyo hatujawahi kuweza.......never think of kusonga mbele!
 
Unataka kuniambia Serikali inatumia Mabillioni ya pesa kueneza kitu cha uongo??

sasa unashangaa nini? Unacheza na hii gvt. Waongo kichiz! Unaweza kudanganywa ukishtuka usiwe na la kufanya ubaki unacheka tu. Usanii mtupu kuanzia bosi wao mpaka mamessengers.
 
Kauli mbiu ya Miaka hamsini ya Uhuru wa Tanganyika ni danganya toto na ni uongo wa mchana. Jinsi mambo yalivyo kwa ujumla wake,si uhaini kuwalisha watu kauli mbiu kama hii?

Mmmh!!..... bangi mbaya! Nakupa ushauri wa bure, IACHE. Ukiacha utajua Kauli Mbiu hiyo ina maana gani.
 
Back
Top Bottom