kagoshima
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 3,335
- 6,458
Binadamu ni wabinafsi sana. Kuna watu wanafanya mambo utadhani wataishi milele hapa duniani. Tukiwa hatujapoa na ile ya mtoto wa Mombo kutuoneshea dole la kati akiwa kabeba maburungutu ya madorali.
Mtoto wa Rais ananunua vigae vya ujenzi amounting to 2.4 billioni. Hakika siye wengine ni wasindikizaji.
Inaonyesha inchi inapesa nyingi ila zinahodhiwa na wachache.
Mtoto wa Rais ananunua vigae vya ujenzi amounting to 2.4 billioni. Hakika siye wengine ni wasindikizaji.
Inaonyesha inchi inapesa nyingi ila zinahodhiwa na wachache.