Ndugu zangu watanzania.
Nipende tu kuwakumbusha kwamba hali ya kisiasa kwa sasa sio nzuri. Kwa wanasiasa watafikiri ni kwa sababu ya uchaguzi, lakini ukiangalia kwa jicho la tatu uchaguzi sio hoja sana.
Kuna haja ya kukaa kama Taifa na kuiangalia vizuri katiba yetu na kuirekebisha kwa sasa kabla hatujagawanyika sana bila kujali vyama vyetu na maslahi ya Taifa.
Tukaeni turekebishe mambo tukiwa wamoja;tusisubiri mabaya zaidi.