rafiki2010
Member
- Sep 23, 2010
- 23
- 0
Nani kakudanganya kuwa haiwezekani? Mafisadi ndio wanawapumbaza kuwa hakuna kinachowezekana, kwa taarifa yako hayo uliyoyaorodhesha hapo juu yanawezekana, na sio ndani ya siku 100, hata mwezi mmoja kitu ni nia tu. Inawezekana.Nawezekana vipi kuunda katiba mpya , kufuatilia migogoro ya ardhi ndani ya siku mia hayo ni machache 2 ila kuna mengine mengi tunaahidiwa kufanyika ndani ya siku mia (100) kweli yote yanawezekana au ndio njia ya kuingia ikulu,,,,,,,, punguzeni vurugu jaribuni tena 2015,,
ila kwa miaka mitano kufanya yafuatayo inawezekana
amka usingizini ewe mtanzania!!!!
- international airports bagamoyo na kigoma
- bandari ya kisasa bagamoyo na kigoma
- meli kubwa za abiria za kisasa L. Victoria na L. Nyasa
- kuajiri walimu wanne wa sayansi katika kila sekondari zooooote nchini
- kuunganisha internet connectivity katika shule zoooote za sekondari za serikali nchini (inasemekana 48% hazina umeme)
- kigoma kuwa dubai na mwanza kuwa amsterdam
- treni ya umeme na fly-overs 'jijini' dar
- ??????
- ?????
- ?????
- ??????
- ??????
- ?????
Nawezekana vipi kuunda katiba mpya , kufuatilia migogoro ya ardhi ndani ya siku mia hayo ni machache 2 ila kuna mengine mengi tunaahidiwa kufanyika ndani ya siku mia (100) kweli yote yanawezekana au ndio njia ya kuingia ikulu,,,,,,,, punguzeni vurugu jaribuni tena 2015,,

kila siku mnazungumza mafisadi hamna kitu kingine? mbona kila mtu ni fisadi kwa nafasi yake!:A S 13: