Hatua zipi za kufuata Private Candidate wa CSEE, achaguliwe shule za serikali ACSEE?

UZZIMMA

JF-Expert Member
Nov 20, 2014
410
477
Salaam, Mungu awabariki wote wenye mioyo safi. Na wenye mioyo michafu Mungu awasafishe nyoyo zao.

Nikifwatilia waliochaguliwa kidato cha tano mwaka 2016/2017 kuna Private Candidate zaidi ya mia moja.

Mimi nilikuwa mtahiniwa wa kujitegemea 2016, na Mungu kajaalia nimepata ufaulu unaokidhi viwango vya kujiunga kidato cha tano, shule za serikali. Nimefaulu kwa daraja la 2 lililo msawazo vizuri, na umri wangu ni chini ya miaka 23.

Je ni hatua gani nifwate ili niweze kuchaguliwa kidato cha tano mwaka huu, kama watahiniwa wa kujitegemea wenzangu mwaka jana?
 
faulu vizuri
Umri usizidi 25 kwa utaratibu wa zamani cjui kama wamebadilisha
 
Back
Top Bottom