Mwinyi_tza
Member
- Oct 9, 2018
- 23
- 5
Wakubwa Hatua za Ukuaji wa Mimba ni jambo ambalo limekuwa likinitatiza sana naomba Kujua....
Ukuaji wake umegawanyika katika sehemu ngapi?
Ukuaji wake umegawanyika katika sehemu ngapi?
Katika sehemu tatu.
1st Trimester
2nd Trimester
3rd Trimester
nimekujibu kutokana na namna ulivyouliza. mtihani mwema.