Utakua taifa?Afadhali mods mmeweka chanzo wenyewe niliogopa kuweka jina la blog nisije kula ban kizembe nikakosa mabishano ya simba na yanga.
we mwanamke umeanza tena kuunguza mainiUkiweka hatua za kufungua konyagi naomba niite.
Poti kaleta samaki[emoji39][emoji39]
😂😂😂😂hii kitu ngumu kuacha sijui kwaniniwe mwanamke umeanza tena kuunguza maini
naona unataka nifanye maamuzi magumu kipenzi😂😂😂😂hii kitu ngumu kuacha sijui kwanini