Hahaha! Sidhani kama kunatatizo lolote katika masomo aliyosoma, ishu hapa ni kwamba programming inahitaji mtu kujidhatiti na kufanya jitihada za hali ya juu kujifunza, inahitaji mbinu nyingi-hivo pia hilo sio jambo la kulisahau.Muulize amesoma masomo gani, wakati mwingine masomo ni msingi wa kusoma/kujifunza kitu.
Hapo kwenye kuwa na jitihada, kujidhatiti na mbinu nyingi, mkuu kuna aina ya masomo ambayo huwa yanamjenga mtu kuwa katika hali hiyo. Kuna masomo ambayo wengi huyakwepa kwa sababu yanahitaji kufikiri/kufikirisha sana ubongo, hayo ndiyo huwa ni msingi wa mambo kama hayo ya programing na jamii zingine za aina hiyo.Hahaha! Sidhani kama kunatatizo lolote katika masomo aliyosoma, ishu hapa ni kwamba programming inahitaji mtu kujidhatiti na kufanya jitihada za hali ya juu kujifunza, inahitaji mbinu nyingi-hivo pia hilo sio jambo la kulisahau.
Kama atakuwa na nia ya kujifunza na kuhitaji msaada wa mambo tofauti tofauti. Anaweza akatembelea vyombo mbalimbali vya habari kujifunza kama hizi forums na tutorials na kadhalika. Atapata kujifunza sana. Pia awe ni mtu wa kucode kila siku.
Sure kaka! Masomo kama hesabu na kadhalika ambayo yanahitaji ufikiriaji wa aina ya juu. Masomo kama haya kiukweli ndiyo humjenga programmer bora.Hapo kwenye kuwa na jitihada, kujidhatiti na mbinu nyingi, mkuu kuna aina ya masomo ambayo huwa yanamjenga mtu kuwa katika hali hiyo. Kuna masomo ambayo wengi huyakwepa kwa sababu yanahitaji kufikiri/kufikirisha sana ubongo, hayo ndiyo huwa ni msingi wa mambo kama hayo ya programing na jamii zingine za aina hiyo.
Definitely, sikupenda kutaja moja kwa moja. Mathematics is a mother of ALL. Nukta.Sure kaka! Masomo kama hesabu na kadhalika ambayo yanahitaji ufikiriaji wa aina ya juu. Masomo kama haya kiukweli ndiyo humjenga programmer bora.
Nimeona website yako but punguza mng'ao wa maandishi yako na vilevile utumie kiswahili kwenye post zako ili ujumbe uwafikie wengi.Shukrani kaka! Tembelea HackerHub | Forum Board
Misamiati iliyotumika,kama language,kwa kawaida twajua language ni lugha,hapa kwenye mafunzo haya,ina maana ngani,pamoja na misamiati mingi iliyotumika kwa lugha ya kitaalamu.Duuh! Tatizo wapi bro?
Nasdhukuru sana kaka! Ntaendelea kutoa masomo zaidi juu ya mambo hayo... pia karibu katika forum yangu ya https://hakerhub.000webhostapp.com kujipatia ujuzi zaidi na watu wengine wajuao teknolojia.Hii ingekaa poa Sana kama ingekuwa attached na video au pictures.
Pamoja na hivyo mleta post nakupa pongezi.
Aha language ni lugha katika mazingira ya Programming, lugha ni zile kama C++, Java, C na kadhalika ambazo zinatumika kutengeneza programu mbalimbali za kwenye kompyuta au hata katika website mfano hii JamiiForums.Misamiati iliyotumika,kama language,kwa kawaida twajua language ni lugha,hapa kwenye mafunzo haya,ina maana ngani,pamoja na misamiati mingi iliyotumika kwa lugha ya kitaalamu.
Nimeona website yako but punguza mng'ao wa maandishi yako na vilevile utumie kiswahili kwenye post zako ili ujumbe uwafikie wengi.
Karibu sana!Asanteee sana mkuuu kwa somo lako
Pia wengine lugha babaa ndo kikwazo hata cha kusoma hvyo vitabu angalau hapa unatuelekeza tunaelewa
Hii ingekaa poa Sana kama ingekuwa attached na video au pictures.
Pamoja na hivyo mleta post nakupa pongezi.
Asante mkuu... Nimeipitia nikipata wasaa wa kutosha nitajiunga rasmi.Ahsante sana kaka! Karibu HackerHub | Forum Board