Hatua ya necta kufuta mitihani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatua ya necta kufuta mitihani

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mchongameno, Feb 16, 2012.

 1. mchongameno

  mchongameno Member

  #1
  Feb 16, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana jamvi Je Necta kufuta mitihani ya kidato cha nne kwa baadhi ya Wanafunzi na kuwafungia wasifanye mitihani kwa miaka minne ni halali? Je nini chanzo cha kuwafutia Mitihani? Je kama tatizo ni kuvuja kwa Mitihani kosa ni la nani? Nini kifanyike kuwasaidia hawa waliofutiwa mitihani? Je tuishauri vipi Serikali ili haya yasijirudie?
   
 2. m

  massau Member

  #2
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo liko kwao watendaji waserikali kwani huwezi kupata mtihani bila kumconsult mtu husika hivyo serikali na necta wajitazame upya na inapotokea udanganyifu katika mitihan inabid mtahiniwa atafutwe na kuhojiwa majibu au hiyo mitihan aliipata wapi,hii itasaidia kuwapata wanaovujisha mitihan
   
 3. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #3
  Feb 17, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Anayekutwa na ngozi ndiye mwizi. Sasa hapo Serikali na NECTA wanahusikaje???

  Kazi rahisi hapo ni kushughulika na hao masharobaro ambao hawataki kusoma. Kutwa ni Facebook.
   
 4. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #4
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ushauri ni kuwalipa hela nzuri wahusika wakuu ktk ulinzi na uandaaji wa mitihani hiyo ili wasidanganyike kiraisi ktk kuivujisha mitihani yao hiyo
   
 5. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #5
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ila kwa serikali yetu imeshindwa kufanya mambo kama hayo ili kuwabaini wausika wakuu na si kwenye elimu tu bali ata kwenye kupambana madawa ya kulevya?
   
 6. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #6
  Feb 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Wakifanya hivyo hawatakuwa wanakabiliana na matatizo bali watakuwa natengeneza bomu tena la nuclear si mnajua kazi yake likilipuka
   
Loading...