Hatua sita za uumbaji

ikawa usiku ikawa mchana siku ya kwanza ikaisha.hayo maneno ya cjui siku moja ni miaka 1000 umeyanukuhuu wapi? tupe andiko au link tuone.mimi naamini usiku na mchana ndio siku moja kama ilivyoandikwa
 
namba tatu umesema huna uhakika hizo siku kama ndio hizi.nadhani tungejikita kwenye ''IKAWA USIKU IKAWA MCHANA SIKU YA....IKAISHA.maana yake siku ni usiku na mchana
 
Sik

Siku sita au saba au tatu ni namba zenye maana fulani tu.Haimaanishi Mungu alitumia kweli siku sita.Tafsiri halisi ni kwamba Mungu alichukua muda kadhaa kabla ya kukamilisha uumbaji wa kila kitu na hatimaye kufanya tathimini(kupumuzika).
nani kasema sita? ina maana alidanganya? ni sahihi kuweka specific fugure bila kuwa na uhakika ili tu eti uweke maan flani? mungu alisingiziwa?
 
Biblia inasema kwa mungu miaka 1000 ni sawa siku moja na siku 1 ni sawa na miaka 1000.

Na kwanini ww mshana usiseme mungu aliuumba ulimwengu kwa miaka 6000 na miaka 1000 akapumnzika?
umepata wapi hizi data
 
namba tatu umesema huna uhakika hizo siku kama ndio hizi.nadhani tungejikita kwenye ''IKAWA USIKU IKAWA MCHANA SIKU YA....IKAISHA.maana yake siku ni usiku na mchana
Hii ni tafsiri ya kibinadamu ambao ufahamu wao umejaa limitations
 
hahahaha! mkuu fanya mpango tufungue kanisa usajili niachie mimi.maana kama naiona karama ya uumbaji kwakoo!!
[HASHTAG]#havingfan[/HASHTAG]
 
ikawa usiku ikawa mchana siku ya kwanza ikaisha.hayo maneno ya cjui siku moja ni miaka 1000 umeyanukuhuu wapi? tupe andiko au link tuone.mimi naamini usiku na mchana ndio siku moja kama ilivyoandikwa

2 Petro 3:8
Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
 
hahahaha! mkuu fanya mpango tufungue kanisa usajili niachie mimi.maana kama naiona karama ya uumbaji kwakoo!!
[HASHTAG]#havingfan[/HASHTAG]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Kiongozi kuna neno hua nalisikia mara kwa mara ila sio msomaji mzuri sana wa bible unasema " miaka elfu moja kwa Mungu ni kama siku moja " kila nikifikiria uumbaji wa hizo siku sita huwa na shawishika kuingiza hiyo terminology: kwa kuwepo duniani binadamu tumekuja ku appear siku za karibuni ukilinganisha na dunia ilipo anzia
 
Mshana Jr hizi siku zimekuwa counted based on what Mkuu? Kama tuna count based on 24 hours , Man this is an issue. Kwa sababu Time hii tunayoitumia sisi ni abstract concept created by us ili itusaidie kupanga shughuli zetu hapa duniani.

Would you please elaborate man hizi siku mnazo sema uumbaji ulikuwa siku 6 na ya 7 ni mapumziko, what do you really mean siku 6 and 7 ? What is the difference between time and creation? Was time also created? When ?

Thank you Mshana !
 
Nitacome
 
Based on these normal days we are using everyday.. Haiwezekani kuwa tofauti kwakuwa hata uumbaji ninaongelea ni wa vitu hivi hivi tunavyotumia na vinaumbwa ndani ya hayo masaa... Hebu niambie kuhusu hiyo abstraction, au kwakuwa nilichomekea na ule uumbaji wa Mungu?
 
2 Petro 3:8
Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.
yani anaweza kufanya mambo mengi ambayo binadamu angechukua miaka mingi(100,1000,10000) kwa siku moja,au unaweza ukaomba jambo dogo tu la siku moja akajibu baada ya miaka mingi.hope inaendana na ule msemo wa hawahi wala hachelewi yeye ni mungu wa wakati.
 
Yes Sir, naongelea uumbaji wa mungu uliopijia mfano kuwa duniani iliumbwa kwa siku 6 na ya 7 ni mapumziko. Sasa hizo siku 6 ni in regard ya haya masaa tunayotumia hapa duniani ?

Kati ya time na uumbaji kipi kilianza ikiwa tunatumia 24 hrs as the reference ya siku moja ?

Do we even know kuwa hizi 24hours was created by human beings baada ya kuona mzunguko wa dunia kwenye muhimili wake , where do we draw the line ?

Thank you !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…