Hatua rahisi za kutoa gari bandarini

Hatua rahisi za kutoa gari bandarini

Ndo ntajua wkt serikali inapitisha hizo sheria ilikua inatania au laah boss.
Vurugu za humo ndani utaziweza? Pale tu immigration na kuomba kote kwa hati (e-immigration) mtandaoni lakini usumbufu umebaki pale pale
 
Hio kutoa gari sio rahisi kama jamaa anavyoeleza hapa, embu Agiza chuma lako halafu kalitoe mwenyeww kisha tuletee mrejesho, sio kwa hizo process hapo port asee
 
Hio kutoa gari sio rahisi kama jamaa anavyoeleza hapa, embu Agiza chuma lako halafu kalitoe mwenyeww kisha tuletee mrejesho, sio kwa hizo process hapo port asee
Process za kutoa gari bandarini lazima ukae.
 
Time frame hakuna? Nimemeletea gari Bi mkubwa, Meli imeingia 1st April, ila hadi jana naambia haijashusha; Milioko Tz Dar hebu nipeni uzoefu wenu.
 
Back
Top Bottom