Hatua moja tu inatosha kukufikisha mbali zaidi

Mjusi Sharobalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2025
Posts
8,287
Reaction score
14,592
Sisi hatuioni dunia jinsi ilivyo, tunaiona dunia jinsi tulivyo. Ukibadilisha mtazamo wako dunia nzima hubadilika. Shida siyo kilichopo nje, bali ni lenzi unayotumia kutazamia.

Jifunze kucheza dansi na mambo usiyoweza kuyabadilisha. Mungu, nipe utulivu wa kukubali yale nisioweza kuyabadilisha, ujasiri wa kubadili ninayoweza, na hekima ya kutofautisha kati ya hayo mawili.

Tatizo siyo tatiyo lenyewe, bali ni hadithi unayojisimulia kuhusu tatizo hilo. Badili hadithi, na nguvu ya tatizo itapungua.

Mazingira yako ya nje ni kioo cha hali yako ya ndani. Ukitaka kubadilisha matunda anza na mizizi. Anza na wewe... Mjusi sina baya.
 
Haraka haraka haina neema, simba mwenda pole ndiye mshibisha kitambi!
D677ED62-AE7A-4A19-B709-F60C361E54CF.jpeg

Mi sitaki😂
 
Sisi hatuioni dunia jinsi ilivyo, tunaiona dunia jinsi tulivyo. Ukibadilisha mtazamo wako dunia nzima hubadilika. Shida siyo kilichopo nje, bali ni lenzi unayotumia kutazamia.

Jifunze kucheza dansi na mambo usiyoweza kuyabadilisha. Mungu, nipe utulivu wa kukubali yale nisioweza kuyabadilisha, ujasiri wa kubadili ninayoweza, na hekima ya kutofautisha kati ya hayo mawili.

Tatizo siyo tatiyo lenyewe, bali ni hadithi unayojisimulia kuhusu tatizo hilo. Badili hadithi, na nguvu ya tatizo itapungua.

Mazingira yako ya nje ni kioo cha hali yako ya ndani. Ukitaka kubadilisha matunda anza na mizizi. Anza na wewe... Mjusi sina baya.
Bravo
 
Back
Top Bottom