Hatua Kwa hatua jinsi ya kusajili Microfinance | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hatua Kwa hatua jinsi ya kusajili Microfinance

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by payuka, Aug 23, 2010.

 1. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mtu yeyote mwenye kujua process nzima ya kusajili microfinance binafsi anisaidie.

  Kama huna cha kuchangia nakuomba uisome thread ili ufaidike na michango endelevu ya wadau wanaoifahau process nzima.

  Kifupi nina-idea nzuri kwa ajili ya kusaidia jamii inayonizunguka kwa kuwapatia mikopo nafuu midogomidogo ili waweze kujikwamua......nimeshafanya paper work .....biz plan pamoja na operating model nzuri.

  kifupi nataka mtu mwenye kufahamu legal issues i am supposed to comply kabla sijaanza ku-operate.

  Natanguliza shukrani zangu kwenu wadau!
   
 2. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Nenda BOT thats financial institution. Lazma iwe registered na kuna kiwango cha kuanzia
   
 3. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #3
  Aug 24, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  :becky:hot topic ,bot si ndo katk epa etc,
  unaweza kuanza na kuandaa vicoba,
   
 4. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #4
  Aug 24, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Shukrani mkuu kwa mchango wako
   
 5. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #5
  Aug 24, 2010
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Newmzalendo nashukuru kwa mchango wako pia, je unafahamu jinsi vicoba inavo-operate?
   
 6. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #6
  Aug 24, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  vicoba, ni village community bank.
  its a commmunty credit society- with revolving funds ect,hapa unaweza kujenga customer base,then u can upgrade to kibenki kidogo etc.sina ujuzi wa microfinance,but i can link u to a person mwenye uzoefu na kazi za credit society-development etc
   
Loading...