Hatua 6 za kumzuzua mwanamke

Hatua 6 za kumzuzua mwanamke

Hici pesa na mapenzi vinahusiana VIPI??...UNAJUA MANA YA KUPENDANA, Nyie mnaenda tafuta MAPENZI (Kufanyana) ndo mana PESA NI KIGEZO, Ushawahi kupendwa wewe?? Mwanamke akikupenda yeye ndio kila siku unaweza mkuta nakununuliwa zawadi na mara nyingi mnakuwa mnapanga mambo kwa pamoja kama anakupenda, KAMA MTU HANA FUTURE NA WEWE, Na umemtongoza anakwambia nina mtu ila unalazimisha na wakati wakulamizisha unatumia silaha ya pesa jua kwa huyo mwanamke utakuwa kitega uchumi hakuna asiependa pesa, HATA WANAUME WANALELEWA NAKUPEWA PESA.
Nimekuelewa sana, sema watu kama wewe sijawahi kutana nao.sijui wako wapi!!?
 
Inategemea na mwanamke unayemletea hayo maigizo, wengine vichwa ngumu hawaelewi hizo sign
 
hii ya kudance unaweza kujikuta umekuwa moze iyobo
 
mwanamke anaekupenda kiukweli hajali hata hiyo wallet, ukiona unapendwa kwa ajili ya wallet jua mmepangwa 10, mana kila mwanaume anayo wallet lol
Ha ha sasa kama hana uhakika ata wa chai na vitumbua atakupendea nin.? U handsome hauliwi ujue. Kama hakuna hela mapenzi ni magumu acha kabisa. Ndo maana nimesema waleti inahusika
 
Haya mambo hayana formula una weza ukawa mcheshi kama joti na ukashndwa kueleweka tu.

Kuna mwingine hataki umuite jina ana taka baby, sweetie na mbwembwe nyingii
Cha msingi ni mtu mwenyewe akubaliane na hali yako.

Ahsante lakini mada nzuri hiyo
GT
 
Hahahahaha nikweli swala la mapenzi sio kama mathematics
 
Ha ha sasa kama hana uhakika ata wa chai na vitumbua atakupendea nin.? U handsome hauliwi ujue. Kama hakuna hela mapenzi ni magumu acha kabisa. Ndo maana nimesema waleti inahusika
katika Mapenzi hakuna linaloshindikana kuna wanaume wanakutwa na wanawake wako hohe hahe, wanawake wanaamua kuwa na wale wanaume kuwatafutia kazi au shughuli ya kufanya na maisha yakaenda, Ila sema baadhi ya wanaume hawana shukrani maisha yakishakaa sawa najisahau nani amemtoa anaanza mambo ya totozi, ila WANAWAKE WAKIMPENDA MTU HATA KAMA NI CHOKORAA ATAMUWEKA VILE ANAVYOTAKA NA KUMPENDA,.....Ndio nikakwambia Kuna tofauti ya kupendwa na kupendwa hiyo wallet...HAO WANAOPENDA WALLET Tayari wanao wanaowapenda bila hata ya senti na hizo zinatoka kwa bwana mwengine apelelewa mwengin.
 
Ha ha

Mapenzi hayana kanuni, ila nadhani compatibility na chemistry ni muhimu sana. Hiyo no.4 ni kweli, mtu unayempenda akikuita kwa jina lako raha sana.
 
Hahahaha hapo kwenye kudansi sasa hahaha...
 
Thanks nitaadd kwenye my adult playlist
 
Haya mambo hayana formula una weza ukawa mcheshi kama joti na ukashndwa kueleweka tu.

Kuna mwingine hataki umuite jina ana taka baby, sweetie na mbwembwe nyingii
Cha msingi ni mtu mwenyewe akubaliane na hali yako.

Ahsante lakini mada nzuri hiyo
Pesa silaha,bastola mzigo.
 
Hici pesa na mapenzi vinahusiana VIPI??...UNAJUA MANA YA KUPENDANA, Nyie mnaenda tafuta MAPENZI (Kufanyana) ndo mana PESA NI KIGEZO, Ushawahi kupendwa wewe?? Mwanamke akikupenda yeye ndio kila siku unaweza mkuta nakununuliwa zawadi na mara nyingi mnakuwa mnapanga mambo kwa pamoja kama anakupenda, KAMA MTU HANA FUTURE NA WEWE, Na umemtongoza anakwambia nina mtu ila unalazimisha na wakati wakulamizisha unatumia silaha ya pesa jua kwa huyo mwanamke utakuwa kitega uchumi hakuna asiependa pesa, HATA WANAUME WANALELEWA NAKUPEWA PESA.
Asmaa yani umenchekesha kweli kweli kwa jinsi ulivyotoa huo msamiati KUFANYANA,yaani kweli weye una mambo kinoma.
 
Wengine hata ufanye hayo yote hazuzuki.
 
mwanamke anaekupenda kiukweli hajali hata hiyo wallet, ukiona unapendwa kwa ajili ya wallet jua mmepangwa 10, mana kila mwanaume anayo wallet lol
yaani tunapangwa kama 10 basi haya we naye umezidi makali.
 
Back
Top Bottom