Hatua 6 za kumzuzua mwanamke

Hatua 6 za kumzuzua mwanamke

!
!
hizo hatua hazikuhakikishii matokeo chanya. Hatua ambazo ni lazima azuzuke ni kama ifuatavyo... Nimezipanga kuanzia ya kwanza hadi ya sita.
#1. Nenda Kaoge Kisha Vaa Nguo Safi.
#2. Chukua Wallet yako weka mfukoni...hakikisha ina ATM
#3. Chukua Usafiri fika kwenye ATM iliyo karibu.
#4. Toa kisi kikubwa cha pesa
#5. Nenda Kakutane nae kisha umpe
#6. Asipozuzuka rudia hatua #4 na hatua #5.
 
katika Mapenzi hakuna linaloshindikana kuna wanaume wanakutwa na wanawake wako hohe hahe, wanawake wanaamua kuwa na wale wanaume kuwatafutia kazi au shughuli ya kufanya na maisha yakaenda, Ila sema baadhi ya wanaume hawana shukrani maisha yakishakaa sawa najisahau nani amemtoa anaanza mambo ya totozi, ila WANAWAKE WAKIMPENDA MTU HATA KAMA NI CHOKORAA ATAMUWEKA VILE ANAVYOTAKA NA KUMPENDA,.....Ndio nikakwambia Kuna tofauti ya kupendwa na kupendwa hiyo wallet...HAO WANAOPENDA WALLET Tayari wanao wanaowapenda bila hata ya senti na hizo zinatoka kwa bwana mwengine apelelewa mwengin.
hii maujuzi we asuma ulitolea wapi,maana inataka moyo
 
!
!
hizo hatua hazikuhakikishii matokeo chanya. Hatua ambazo ni lazima azuzuke ni kama ifuatavyo... Nimezipanga kuanzia ya kwanza hadi ya sita.
#1. Nenda Kaoge Kisha Vaa Nguo Safi.
#2. Chukua Wallet yako weka mfukoni...hakikisha ina ATM
#3. Chukua Usafiri fika kwenye ATM iliyo karibu.
#4. Toa kisi kikubwa cha pesa
#5. Nenda Kakutane nae kisha umpe
#6. Asipozuzuka rudia hatua #4 na hatua #5.
ukweli wa asirimia 100
 
Inabidi nianze rehearsal za kwaito..🙂
 
kumbe ni mwanamke sio mke wako. cha kumzuzua mwanamke embu kuna ilo jicho pori mpaka lichange color hapo kisha kimbia aisehhh utatafutwa kama ggaidi
 
Haya mambo hayana formula una weza ukawa mcheshi kama joti na ukashndwa kueleweka tu.

Kuna mwingine hataki umuite jina ana taka baby, sweetie na mbwembwe nyingii
Cha msingi ni mtu mwenyewe akubaliane na hali yako.

Ahsante lakini mada nzuri hiyo
Umenena mwenzangu, mm ukiniita kwa jina langu siitiki najifanya sijasikia
 
!
!
hizo hatua hazikuhakikishii matokeo chanya. Hatua ambazo ni lazima azuzuke ni kama ifuatavyo... Nimezipanga kuanzia ya kwanza hadi ya sita.
#1. Nenda Kaoge Kisha Vaa Nguo Safi.
#2. Chukua Wallet yako weka mfukoni...hakikisha ina ATM
#3. Chukua Usafiri fika kwenye ATM iliyo karibu.
#4. Toa kisi kikubwa cha pesa
#5. Nenda Kakutane nae kisha umpe
#6. Asipozuzuka rudia hatua #4 na hatua #5.
hii
haipingiki mkuu
 
pesa ndiyo mzuzuo wa ukweli nyingine talalila tu
Mi zangu nilizifukia sasa natafuta wa kutumia nae nahisi were unaweza nionesha mwanga karibu nikuonge hizi zote
 
Attachments

  • 1473884145692.jpg
    1473884145692.jpg
    63.4 KB · Views: 34
Anhaa ndeeeeeeeeeeeefu tafuta pesa watakuja mpaka utaona usumbufu hizo mbwembwe zote hamna kitu
 
Back
Top Bottom