Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,530
- 3,422
Tunahitaji viongozi imaraAtaishi kama Digidigi,Magobole yamekokiwa kila sehemu.
Hatuhitaji Viongozi Wauaji.Tunahitaji viongozi imara
DAB get well soon Ila Wazee acheni kuwekeana sumuCodes mbona za moto hizi? Kuna nini?
AsanteDAB get well soon Ila Wazee acheni kuwekeana sumu
Kwani bado hajafa?Basi wale tunaoamini katika Reincarnation au kuzaliwa Upya .
Basi tupitie Zaburi hii na tuseme amina kwa ajili ya mtumishi mwanasiasa yule apate kusamehewa na kerehemiwa afya yake ikae sawa kisha arudi katika majukumu yake .
Zaburi 118:17 Sitakufa, bali nitaishi, na kusimulia matendo ya Mwenyezi-Mungu.
Mshaandaa risala ya kusoma msibani?Kwani bado hajafa?
Alimuua bibi yako!?,huwa nachukia watu msiotumia akili zenu, mkiambiwa chochote mnakibeba tu kama mazuzu..Hatuhitaji Viongozi Wauaji.
Nakuunga mkono. Watu wana chuki za kukaririshwa bila evidence yoyote.Alimuua bibi yako!?,huwa nachukia watu msiotumia akili zenu, mkiambiwa chochote mnakibeba tu kama mazuzu..