mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 80,894
- 106,188
Ccm wataendelea kuitawala hii nchi mpaka wenyewe labda waseme basi!ππHaya malalamishi yashakuwa ya kutosha sasa tunahitaji kuona vitendo tu kwa sasa! Hata mtoto akichoka maisha ya kubanwa banwa na mzazi huchukua maamuzi ya kuanza mbele kujitegemea.
Mimi mwenyewe nimewanyooshea mikono juu
Ova