Hatma ya maisha yako unayo mwenyewe

Hatma ya maisha yako unayo mwenyewe

I do think he is just motivating.. no necessity ya hili swali lako.
Well, I probably shouldn't have asked but someone once asked me why do newborn babies have their fists clenched. I thought OP amejua kutoka (nilihisi itakuwa ni Bible) ni sababu nikataka nikasome zaidi.

Look, I am sorry if that came out wrong but I just wanted to learn.
 
Twende pamoja na Mimi

Je, ulishawahi kujiuliza kuwa kwanini kila mtoto mdogo anayezaliwa anakuwa amekunja ngumi? Hii ni kwasasabu HATIMA yake anayo mwenyewe.

Katika kulitambua hili Kuna Mambo ya msingi ya kufahamu:

1. Unaweza kukutana na Mambo magumu sana sana na ya kukatisha tamaa anayeweza kukutoa hapo ni wewe kujitambua na kusimama imara na kumwomba Mungu na tofauti na hapo mama, baba, mpenzi, ndugu ama mtoto hawezi kukusimamia yule ni mwanadamu ni Kama maua yanakuwa na harufu nzuri Mara yananyauka na kukosa harufu nzuri ndivyo alivyowamadamu.

2. Katika mafanikio usijaribu kuwaza umri ama umepoteza muda gani pale unapogundua nafasi (opportunity) anza hapo hapo bila kuwa na wasiwasi songa mbele.

3. Tambua thamani iliyo ndani yako ambayo wakati unazaliwa uliishikilia.

Asante tunaendelea kesho tena. Ubarikiwe sana
Noma sana mkuu umetisha.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Huu uzi nimeousoma hapa kukiwa mvua unanyensha basi maneno yalivyokuwa yahamasa na huku background voice radi zinangurumaa kama ile kwenye movie vile nikajikuta natamka AM SIMBAAA.

Sijui nguvu ya soda hii ndio naelekea kwa group hapa
 
Huu uzi nimeousoma hapa kukiwa mvua unanyensha basi maneno yalivyokuwa yahamasa na huku background voice radi zinangurumaa kama ile kwenye movie vile nikajikuta natamka AM SIMBAAA.

Sijui nguvu ya soda hii ndio naelekea kwa group hapa
haya bana
 
Back
Top Bottom